Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,282
Wale waislamu wa siasa kali Saudia VIP? SarafimWanaiogopa aljazeera kwakuwa inawaumbua
Eti wana demand na military base ya uturuki ifungwe iliyo qatar, yani sidhani kama qatar atakubariWale waislamu wa siasa kali Saudia VIP? Sarafim
Upo sahihi na hata Russia ameonesha nia ya kumsupport Qatar .Wakiitenga Qatar ndio watazidi kuisogeza karibu na Iran kitu ambacho Marekani asingependelea...
Ukiondoa Uturuki, Marekani pia ina kambi yake ya kijeshi Qatar hivyo pamoja na Marekani sasa hivi kuonekana kama vile yuko upande wa Saudia lakini bado asingependa kuipoteza Qatar kama mshirika muhimu.
Wanaiogopa aljazeera kwakuwa inawaumbua
Mkuu wana shangaza sana hawa WaarabuHayo masharti hayakubaliki,
as long as Turkey yuko pale hawawezi kumshambulia,Turkey akiondoka tu ndani ya nusu saa huyo mfalme atakuwa kishapinduliwa,
kwa position ya qatar ilipo inaathirika sana na siege aliopigwa hamna hata haja ya vita hapo....wakae tu wayamalize kikubwa...qatar airways ishaathirika sana imeanza kupaki ndege sasaHayo masharti hayakubaliki,
as long as Turkey yuko pale hawawezi kumshambulia,Turkey akiondoka tu ndani ya nusu saa huyo mfalme atakuwa kishapinduliwa,
Ndilo hilo mkuu, mambo mengine ni gheresha tu - tatizo Ufalme wa Saudia hautaki raia wake waelezwe ukweli kuhusu utawala wao, wanaogopa sana kuondolewa madarakani kwa nguvu za umma/color revolution wako paranoid kweli kweli - wanataka raia wao wabaki mbumbubu kwa kusikiliza Kituo chao cha TV i.e Al Arabia (sijui kama nimepatia jina) kituo hicho kinatumika kutukuza utawala wa Ufalme na kuchochea nchi za Kiarabu zichukie IRAN - yaani Ufalme wa Saudi Arabia unajifanya ni semi Super Power wa Mashariki ya Kati - cha ajabu pamoja na silaha zao za kisasa bado waasi wa Yemen wanawapeleka puta karibu mwaka unakatika bila mafaniko yoyote, leo hii ndiyo wajitape kwamba wanaweza kupigana na IRAN - naona hizo ni ndoto za mchana.
Kiboko cha Iran ni Israel pekee, Saudia hawezi kupigana na Iran, atapigwa hadi Saudia yote ipinduliwe labda asaidiwe na Marekani.Ndilo hilo mkuu, mambo mengine ni gheresha tu - tatizo Ufalme wa Saudia hautaki raia wake waelezwe ukweli kuhusu utawala wao, wanaogopa sana kuondolewa madarakani kwa nguvu za umma/color revolution wako paranoid kweli kweli - wanataka raia wao wabaki mbumbubu kwa kusikiliza Kituo chao cha TV i.e Al Arabia (sijui kama nimepatia jina) kituo hicho kinatumika kutukuza utawala wa Ufalme na kuchochea nchi za Kiarabu zichukie IRAN - yaani Ufalme wa Saudi Arabia unajifanya ni semi Super Power wa Mashariki ya Kati - cha ajabu pamoja na silaha zao za kisasa bado waasi wa Yemen wanawapeleka puta karibu mwaka unakatika bila mafaniko yoyote, leo hii ndiyo wajitape kwamba wanaweza kupigana na IRAN - naona hizo ni ndoto za mchana.

hao,mume wao marekani alitaka kuuza silaha kwa qatar tu,manake baada ya show ya urusi syria kila mtu anataman silaha zake,sasa mume kishauza muda si mrefu kila kitu kitakua poaEti wana demand na military base ya uturuki ifungwe iliyo qatar, yani sidhani kama qatar atakubari