Mataifa 4 ya kiarabu yaipa Qatar masharti 13 kuafikia la sivyo itengwe

We hata husomi na hujui namna Qatar inavyosaidiwa na Iran, Uturuki, Oman katika masuala ya Chakula na hata hiyo blockade imewaongezea root za umbali tu kwa masuala mengine hata haijaathirika
k,km unafikiri mbali na kuongezeka kwa umbali wa safari za ndege hakuna maeneo ambayo qatar anaathirika sawa mkuu
 
Hakuna shart hata moja
Qatar atatekeleza kwanza
Hlo la aljazeera na Iran
N ndyo kabsaaa haltawezekana
 
Hayo mambo yapo huko kwenu, مملكت لعربي سعدي haiji kuongozwa kwa matakwa ya watu.

Waambieni hao Qatar wadindishe wakione, na uzuri upande ilioko Saudia ndio upande wa waislamu wote min ghairi ya mashia!

Sheria za kiislamu zitaendelea kutekelezwa Saudia na hamna atakaeamua fyoko fyoko!
Hakuna mpuuz kama ww
Dunia nzma
 
k,km unafikiri mbali na kuongezeka kwa umbali wa safari za ndege hakuna maeneo ambayo qatar anaathirika sawa mkuu
Hiyo blockade haina madhara kiuchumi wala kibiashara ndo maana Qatar anaendelea na ishu zake Saudia anawaonea wivu tu we fikiria kainchi kadogo lakini kameweza kuandaa worldcup peke yake, Saudia anajifanya yeye ndiye USA wa Uarabuni
 
Hayo mambo yapo huko kwenu, مملكت لعربي سعدي haiji kuongozwa kwa matakwa ya watu.

Waambieni hao Qatar wadindishe wakione, na uzuri upande ilioko Saudia ndio upande wa waislamu wote min ghairi ya mashia!

Sheria za kiislamu zitaendelea kutekelezwa Saudia na hamna atakaeamua fyoko fyoko!
Tatizo lenu ni ushia na usuni sasa mbona huyo suni analindwa na kafiri??Hahahaaaa,,,,,tatizo ni maarifa
 
Back
Top Bottom