Maswali yangu yaivuruga ACT-Wazalendo

Maswali yangu yaivuruga ACT-Wazalendo

DCONSCIOUS

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,269
Reaction score
473
Zitto wabunge waupinzani ni wezi maaana watapokea kiinua mgongo cha zaidi ya milioni 200.

Swali: unasema pesa hizo ni zawizi je wewe utapokea? Maana katibu wa bunge alisema unahaki ya kupokea.
Zitto: Nitapokea lakini ntapeleka kusaidia maalbino.
Watu: huuuuhuuuhuuu unauhakika gani hao wabunge wengine watatumia wapi
Zitto: kwa jazba anajibu "waulizeni wao
Watu: buuubuuubuuuubuuuu

Swali la pili
Wewe ulivyo timuliwa kwenye chama chako cha zamani ndani ya siku saba ukahamia chama kingine na kubadirisha katiba kisha kujipatia cheo kikubwa.hauoni kama wewe ni mroho wa madaraka? Alfu mbona unataja vyeo vya wenzio wewe hautaji chako?
Zitto: Zitto hili swali atalijibu mwenyekii
Magwila: mfumo wetu haupo Tanzania tumeuchukua Kenya, kunakua na kiongozi wa chama na mwenye kiti
Watu: weweeee taja cheo chake, wewe na yeye nani mkubwa
Magwira: anaona aibu anacheka, ebu tuangalieni mimi na zitto nani mkubwa
Watu: wewe jibu swaliii
Zitto ana mnyan'ganya mic magwila kisha anajibu kwa jazba sisi hatugawani vyeo tunagawana majukumu
Watu: buuubuuubuuuuuuu

Swali la tatu
Kama ambavyo dr slaa alitaja list of shame vipi na wewe unaujasiri wa kutaja majina ya walio ficha fedha uswisi ukizingatia tunaenda kwenye uchaguzi na tunaweza kuwachagua hau walio ficha bila kujua
Zitto.kwani Slaa alivyo wataja kilibadirika nini majina ntayapelekwa bungeni
Watu: huuuhuuuhuuuhuu
Habibu: anamnyan'ganya mic muuliza swali.
Watu: mwachieeeee
Habibu wanao taka kujiunga na chama waje wajiunge
Watu: mnazinguaaaaaaa

Mytake: Zitto na ACT yake wajipange sana maana una watanzania ni waelewa kuliko anavyodhani.

Hajiulizi mpaka sasa kwanini hakuna mwanachadema anayehama chama na kujiunga nae.
 
Swali:Zitto ni lini utaoa kwani wewe ni kiongozi mkubwa wa kisiasa na pia mtu maarufu kwa muda mrefu sasa.
Zitto:Mie Bado nipo nipo kwanza , kama alivyo babu slaa.

Swali:Kutokana na kuishi kisela, je una jifariji vipi ikizingatiwa hata demu huna.
Zitto: Kwani viganja na "komoa" zimeisha...
Watu: Ahaaaa......
 
MeinKempf wewe ni shida. Ila Zitto akomae sana kueneza chama chake cha zambarau.
 
Last edited by a moderator:
DCONSCIOUS

Mkuu hiyo ilikuwa wapi alipo chapwa maswali ya kumchanganya hadi akazomewa?
 
Last edited by a moderator:
Amesema atamwachia Lowassa akiamua kujiunga nao akitokea CCM,mradi tu atangaze Mali zake!!!!!!!!!!!Sielewi kama huo ndiyo ujamaa wanaousema

Atangaze mali zake ndio itamfanya kutimiza sifa za kuitwa mzalendo? Zzk anakuwa kama lori la budege kwa tamaa ya kujenga chama
 
Swali:Zitto ni lini utaoa kwani wewe ni kiongozi mkubwa wa kisiasa na pia mtu maarufu kwa muda mrefu sasa.
Zitto:Mie Bado nipo nipo kwanza , kama alivyo babu slaa.

Swali:Kutokana na kuishi kisela, je una jifariji vipi ikizingatiwa hata demu huna.
Zitto: Kwani viganja na "komoa" zimeisha...
Watu: Ahaaaa......

haah haah
 
Watu wanatunga hadithi zao huko waliko...wanasimuliana na wenzao kisha wanaona watu wanaowasikiliza hawacheki, wanajitekenya wenyewe...kisha wanacheka sana wenyewe baada ya kutekenyana kisha kiongozi wao anainuka na kusema.."story hii inachekesha kweliiiiii"

ahahaha...nimekumbuka bunge la katiba na spika wa bunge six.....
 
hawajaamka vijana wa ACT au issue imekuwa mwiba? kushabikia msaliti ngumu kama kutetea fisadi aliyealikwa kwa sharti la kutangaza Mali zake awe mzalendo
 
Back
Top Bottom