Maswali yangu kwa tume za uchaguzi za nchi za kiafrika

Angelo007

JF-Expert Member
Dec 1, 2013
1,794
2,000
Wakuu,Mimi kuna kitu kinanichanganya kwenye hizi nchi zetu za kiafrika, kwa nini tume za uchaguzi uwa lazima waweke neno '' tume huru ya uchaguzi ''. Nimeona Kongo DRC, Tanzania n.k. Hivi hizi tume zipo huru kweli au ni majina ili zionekane huru angali watendaji wanateuliwa na rais. Nawasilisha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom