^^
Mwingine anakurupuka tu,,msalimie wifi angu wakati anajua kabisa uko single.
Aaaa!
^^
Je unanipenda?
Hehehehe hii imenivunja mbavu sijui kweli au imetungwa
Maswali mengine ukiangalia hayana hata umuhimu.Hivi juzi niko na my wii, akanitambulisha kwa rafiki yake.
My wii: Rafiki huyu wifi yangu, mdogo wake mume wangu.
Rafiki: Hee mbona mumeo mweusi sasa alafu mdogo wake mweupe??!!
Mweeh ilibidi tu mi nicheke.
Ha ha haa...au SHEMEJI HAJAMBO?
Unakutana na mtu anakuuliza.....hivi bado upo.....?.....swali gani hili.....kama nimekufa si ungesikia.......au labda kazoea kukuona mara nyingi unapokuwa na shughuli zako unapiga misele na gari....siku ya siku akikutana na wewe ukitembea....unasikia....alaaah leo mbona upo kwa miguu....jamani....mtu umezaliwa na gari......?
Au unamuuliza mtu.....kitu kama.....kesho utakwenda....anakujibu....nani mimi....?......aggghh......inachosha sana.....
HEBU ONGEZEA MASWALI YANAYOKUTATANISHA..........

dizain hizi wanataka kutongoza tu..yah.....hao ndio wale wanaokuuliza.....shemeji hajambo......na hakufahamu kivile kama una huyo shemeji au lah.........hapo unakuta ndio kwanza umetoka kupigwa kibuti
hili huwa linanikera balaaaaaJe unanipenda?
nakupenda baby nicas.Mzima?
mi mzima sana yaani...... hajambo?
unakutana na mtu anakuuliza mbona umekondaaa!!!? aaah jamani hamjui watu tunamaintain figure. lol
"Shemeji hajambo?"...
Hapo umekutana na mbulula asiyekufahamu wala humafahamu...
Na huyo amwitaye shemeji, ni dada yako tumbo moja...kisa tu kawaona mnaongozana pamoja basi kashaashumu ninyi ni wapenzi...
Maswali mengine ukiangalia hayana hata umuhimu.