Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,729
Mwinyi ni pandikizi kutoka CCM ya Tanzania bara la kulinda muungano huko Zanzibar wala halina maslahi na ustawi wa wananchi wa Zanzibar
Mkuu Sarahani , jee unanijua in reality na unayajua mahusiano yangu na Zanzibar?. Niichukie Zanzibar kwa lipi?!. Kosa langu ni kuwaeleza ukweli.Pascal Mayalla una chuki na sisi Wazanzibari muda mrefu tu na hili halitaki kurunzi. Tanzania ikikopa nani hutoa go ahead. ? Ukitumia neno Tanzania na sisi Wazanzibari tunakuwa kwenye hilo kapu. Wakati huo huo hayo mambo hufanyika nyuma ya pazia ila sisi tukitaka kukopa wewe na jamaa zako wa Chato lazima mtoe Guarantee.
And you assume most Zanzibaris are happy with that setup ?Kwanza hakuna nchi inayoitwa Tanganyika.
Tanzania ndiyo inayokopa.
Nchi yoyote ambayo ni Sovereign inaruhusiwa kukopa mikopo ya kimataifa.
Zanzibar sio nchi, hivyo haiwezi kukopa yenyewe as Zanzibar kwasababu sio nchi. Ili Zanzibar ikope, mkopo huo lazima uidhinishwe na Tanzania na kudhaminiwa na government guarantee ya JMT.
P
Acha mifano ya kipumbavu, Zanzibar inaweza kuwa kwa eneo la ardhi ni ndogo lakini ni nchi na ilikuwa na kiti chake UN sawa na Tanganyika ambayo ina eneo kubwa la ardhi.Mkuu Sarahani , jee unanijua in reality na unayajua mahusiano yangu na Zanzibar?. Niichukie Zanzibar kwa lipi?!. Kosa langu ni kuwaeleza ukweli.
Ukiwa ni mtoto unayeishi nyumbani kwa baba na mama kula kulala, ukitaka kukopa mkopo ambao lazima baba akudhamini, hatua ya kwanza ni lazima kwanza umshirikishe baba ambaye ndie mdhamini.
Ukijiendea na kujikopea, huku ukitegemea dhamana ya baba, ukinyimwa, usilalamike!.
Nyumba nyingi, wazazi wengi, wafanyabiashara wengi wenye dhamana zao, wanakopa bila kuomba idhini ya yeyote. That is Tanzania.
P
It's true, tulipoungana, ilidhaminiwa tuwe sawa na wote tuchangie katika uendeshaji wa muungano. Zanzibar ikachangia kwa miaka michache kisha ikagoma!. Kwa sasa ni msharika mmoja tuu ndiye anabeba gharama zote za kuendesha muungano, huku msharika mwingine ni kula kulala!.And you assume most Zanzibaris are happy with that setup ?
Acha mifano ya kipumbavu, Zanzibar inaweza kuwa kwa eneo la ardhi ni ndogo lakini ni nchi na ilikuwa na kiti chake UN sawa na Tanganyika ambayo ina eneo kubwa la ardhi.
Sasa sifahamu mifano ya kijinga ja baba na mtoto inatokea wapi ? Nishasikia wengine wakileta mifano ya ndoa, wakati hizi ni nchi mbili sawa. Mifano hii inakaribiana na ndoa za jinsia moja (wanaume sawa au wake sawa).
Naomba tuacheni mzaha kwenye masuala nyeti ya kitaifa! Kama Tanganyika baba, mke ni yupi na mtoto ni yupi ? Naona unazingua tuu.
WEWE JAMAA HYAWEZEKANA CHAMA CHA SIASA BORA VIKO VINGI MAANA KUNA WATU WANGETEMBEA UCHI KWA SABABU HUELEWI OVIOUSZanzibar inatakiwa ijikomboe kutoka kwa huyu mkoloni CCM
Unaongea nini?WEWE JAMAA HYAWEZEKANA CHAMA CHA SIASA BORA VIKO VINGI MAANA KUNA WATU WANGETEMBEA UCHI KWA SABABU HUELEWI OVIOUS
WEWE JAMAA HYAWEZEKANA CHAMA CHA SIASA BORA VIKO VINGI MAANA KUNA WATU WANGETEMBEA UCHI KWA SABABU HUELEWI OVIOUS VICHWA VYA WATU VIMEJAA MBALIMBALI NA KATHALIKAUnaongea nini?