Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,797
Maswali gan hupend kuulizwa na girlfriend/ boyfriend wako!? me binafsi kuna maswal mawili sipend kabisa kuulizwa sababu ntakudanganya tu... eti ushawah kuwa nao wangapi!? huwa nawaambia watatu tu baby halafu wa kwanza na wa pili hata sikufanya nao walikua watoto wa geti sana pia na mimi nilikua naogopa.
Hahahahha, la pili ni tukiwa lodge halaf unaniuliza "baby hapa umepajuaje!? mostly nawajibu nmeGoogle afu napotezea kidizain.... vipi kwako!!!?
Hahahahha, la pili ni tukiwa lodge halaf unaniuliza "baby hapa umepajuaje!? mostly nawajibu nmeGoogle afu napotezea kidizain.... vipi kwako!!!?