TUMBOO
JF-Expert Member
- Jun 27, 2014
- 3,827
- 2,027
unapewa nyenine na nyengine na nyenzake kwa ufundi na utaalam zaidi.
Kama ni mm cjaridhika mara zote izoo nakukuvuta.mdudu wako .
unapewa nyenine na nyengine na nyenzake kwa ufundi na utaalam zaidi.
eti beby mbona we huniekagi dp?
namjibu kama dp hata farasi anawekwa, we tulia tu...
Eti una mpango gani na mimi au unataka kunichezea tu uniache? Najibu sina mpango wa kukuchezea lakini hata ikitokea usistuke maana sijakukuta bikra
Kama ni mm cjaridhika mara zote izoo nakukuvuta.mdudu wako .
tobaaa,unataka iwe ndefu ka treni ya mwakyembe?si utaumia
Ata ikinyofoka hakuna shidaa
mimi ni mwanaume wako wa ngapi.. aaaaghhhh
Baada ya kufanya mapenz unakuta jitu linakuuliza umelidhikaa......cpendi ichoo kituu Mxyuuuuuuuuuuuuuu
Hivi kweli ndivyo mnavyo wajibu wapenzi wenu au mnazuga tu hapa.
kastukia foleni nini?au kaona lami imekwanguka so anahisi magari mazito yalipita?
hii ni kabla ya kuanza mahusiano mkuu.. umewahi kuwa na wanaume wangapi alafu mtu anatongoza
anyway,hupendi kuulizwa.then ukiulizwa unajibu nini?
sipendi uongo mkuu... nafunguka tu kuwa swali la aina hiyo siwezi kulijibu
umenikumbusha ndege alivyo ni kimbiiaga lodge kwa hilo swali la pili wakati anauliza mhudumu akaropoka hapa ndo kwake kafika na kumalizia unabahati rumu yako haina mtu