Maswali ya wapenzi wetu

Maswali ya wapenzi wetu

Maswali gan hupend kuulizwa na girlfriend/ boyfriend wako!? me binafsi kuna maswal mawili sipend kabisa kuulizwa sababu ntakudanganya tu... eti ushawah kuwa nao wangapi!? huwa nawaambia watatu tu baby halafu wa kwanza na wa pili hata sikufanya nao walikua watoto wa geti sana pia na mimi nilikua naogopa.

Hahahahha, la pili ni tukiwa lodge halaf unaniuliza "baby hapa umepajuaje!? mostly nawajibu nmeGoogle afu napotezea kidizain.... vipi kwako!!!?

hahahaha jamani.... mi nikiulizwa uko nyuma mpo wangapi, sina cha kuwajibu ila huwa linanikera kwa kweli
 
eti mimi ni wangapi kwako??? heheheee simple kwa sauti ya upole wa 11 hahahaaaa hataki asepe afu hili swali wanaume mnapenda kutuuliza nyooo hilo ndio jibu hutaki sepa mmxxiuuuuu
 
hahhaha wa 11 unamkata na stim kabisa, mdanganye danganye ata wapili aendelee kuhudumia... kuna time story zinaisha, unajikuta unauliza ata swali la kijinga tu afu ndo unajistukia mwenyewe
 
mtu mwenyew unakuta hata huduma hatoi yupo yupo tu kama bendera mim namchana makavu mbona vijana wangu wananielewa akiuliza tu jibu ndio hilo
 
mmmh.... huyo hatarudia tena
 
una nauli? alaaa!! ninayo vp unataka nikutoe ya kodi?
 
Maswali gan hupend kuulizwa na girlfriend/ boyfriend wako!? me binafsi kuna maswal mawili sipend kabisa kuulizwa sababu ntakudanganya tu... eti ushawah kuwa nao wangapi!? huwa nawaambia watatu tu baby halafu wa kwanza na wa pili hata sikufanya nao walikua watoto wa geti sana pia na mimi nilikua naogopa.

Hahahahha, la pili ni tukiwa lodge halaf unaniuliza "baby hapa umepajuaje!? mostly nawajibu nmeGoogle afu napotezea kidizain.... vipi kwako!!!?

Hahahahaa nimefurahi sn coz hta mm napenda kuuliza hayo maswali,looh we ni noumaaah.
 
Hahahahahaha lol!!!!! Si umwambie ukweli tu!..... sijaridhika nataka tena utamu ndo ulikuwa unaanza kukolea weye umemaliza lol!!!!

Baada ya kufanya mapenz unakuta jitu linakuuliza umelidhikaa......cpendi ichoo kituu Mxyuuuuuuuuuuuuuu
 
Last edited by a moderator:
Utanioa?Nilikuwa naulizwa enzi za ujana/uhuru wangu.Siku hizi wakiona mvi wananiamkia tu.
 
hahahhha kwa hasira huyo muhudumu ndo atanmalizia ugwadu wote na hata buku hapati... kiherehere ka kaulizwa yeye

sasa muhudum mwenyewe unakuta ni mshikaji, asije akageuza zoezi wewe ndo ukammalzia ugwadu.
 
Hahahahaa nimefurahi sn coz hta mm napenda kuuliza hayo maswali,looh we ni noumaaah.

hahaha sa unayauliza ya kazi gani... hapo kuna mawili either akudanganye ulidhike au akupe ukweli uumie lol!!!
 
Baby changu ni kibamia ama ukuni..!khee umesikia mi na tape measure ya kupima midushee!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom