Maswali ya wanawake..

Maswali ya wanawake..

mnyandzombe

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2015
Posts
245
Reaction score
194
Habari wanaMMU

Bila kupoteza muda naomba kufahamu hasa kutoka kwa wanaume waliooa kama hii hali inatokea na kwako.

Hivi na ninyi huwa mnaulizwa maswali mfulululizo kama mimi kutoka kwa wake zenu?

Vipi na nyie wake za wanaume wwnzangu huwa mnawauliza maswali mengi muwapo na waume zenu kama mimi navoulizwa?

Ninaposema maswali sijalenga upande mmoja ila namaanisha ile hulka ya kuulizauliza hata kitu kidogo.

Mfano anaona tangazo kwenye tv tumepunguza bei ya bidhaa zetu kwa 50% bado atakuuliza eti wamepunguza kwa 50%? wakati anaona na anasikia

Anaelimu ya kutosha kuelewa na kumudu lugha ya kimombo lakini bado anataka umfanyie ukalimani kwenye series za kichina na kikorea kupitia Eng Subtitle?

Si kwamba nachoshwa na maswali ya mke wangu ila ningependa kujua hata nyie ni hivo
 
Inasemekana wanawake wana maneno yanayofikia 24000 kuwasemesha
waume zao,sasa kama wewe ni mtoro nyumbani kwako,
siku unayoshinda nyumbani jiandae kukutana na maneno
24000X siku ulizokosekana nyumbani.

Ushauri ni kwamba baada ya kazi tumia muda
mwingi kukaa na mkeo,automatically
hutasumbuliwa na mke wako😉
 
Kumbe ni maswali ya wanawake...ok [emoji15]... ngoja niangalie tu mipasho hapo
ONYO- Mimi simo
 
Inasemekana wanawake wana maneno yanayofikia 24000 kuwasemesha
waume zao,sasa kama wewe ni mtoro nyumbani kwako,
siku unayoshinda nyumbani jiandae kukutana na maneno
24000X siku ulizokosekana nyumbani.

Ushauri ni baada kwamba baada ya kazi tumia muda
mwingi kukaa na mkeo,automatically
hutasumbuliwa na mke wako😉

Hujakosea upo right kabbisaaaa maana hata mie muda mwingi nipo kazin kuliko kushinda home nikirudi yaaani najua maswali ni mengi sana
 
Mtafutie kidaftari mengine awe anaandika, pia mfundishe kuipenda Google itakupunguzia kero.
 
Sasa ujichanganye ukaangalie naye [emoji460][emoji460][emoji460] mpira

Utasukia mbona kipa haiend kufunga sijui mbona huku ronaldo hayupo wakati unaangalia azam na yanga
 
Embu nipe namba zake huyo,anatakiwa apate tiba ya kisaikolojia na Kama usiponipatia namba zake tatizo linaweza likawa kubwa mpaka mwishowe atakua anauliza maswali midoli. Hivyo basi unatakiwa unipe namba zake haraka kabla ya tatizo kuwa kubwa !!

By Dk.
 
Namba ya Faiza fox unayo?!
 
Sasa ujichanganye ukaangalie naye [emoji460][emoji460][emoji460] mpira

Utasukia mbona kipa haiend kufunga sijui mbona huku ronaldo hayupo wakati unaangalia azam na yanga

hahahaha ronaldo haonekani kwenye mechi ya azam ana yanga hahahahah
 
Mkeo anapenda communication na wewe, anatamani muongee kwenye movie umwambie hiki umwambie kile kama unaona kero basi acha waongeaji watamuongelesha.......

Nampenda sana na namheshimu mke wangu tena sichoki maswali yake ila nilitaka kujua kama hata wanaume wenzangu wanakutwa na hili
 
Embu nipe namba zake huyo,anatakiwa apate tiba ya kisaikolojia na Kama usiponipatia namba zake tatizo linaweza likawa kubwa mpaka mwishowe atakua anauliza maswali midoli. Hivyo basi unatakiwa unipe namba zake haraka kabla ya tatizo kuwa kubwa !!

By Dk.

Kumbe nawe ni walewale sijataka msaada wa daktari kwani sio tatzo kuwa mwelewa, Nampenda sana na namheshimu mke wangu
tena sichoki maswali yake ila nilitaka kujua
kama hata wanaume wenzangu wanakutwa na
hili
 
Back
Top Bottom