Maswali ya Sensa 8 tu? why

Sasa wenyewe wapo Busy unataka niwaulize eeh! na mimi pia nilikuwa mbio mbio... Nilimuuliza Hapo ndio mwisho wa maswali akasema Ndio... Wewe ulitaka niendelee au nimbishie?? wewe RGforever hujaacha kunywa Wanzuki! tu

Jinsi unavyoonekana Mlevi Unasema Mwanafunzi huwezi kumuuliza ana mifugo Mingapi? unadhania kuitwa mwanafunzi ni ulofa? watu wanarithi mali Jirani yangu kuna Mwanafunzi anamiliki Nyumba na mali kadhaa alizoachiwa na Wazazi wake Marehemu, kama karani mjinga kama wewe hatauliza ni kosa kubwa kwa kazi aliyopewa.

naona Hangover za Jumapili hazijakuisha! kuna kitu unakitafuta!

Ni busara tu inatumika hapa hata mimi nina matusi ya kutukana sema sijalelewa mazingira kama yako.

USIKURUPUKE TU NA KUANZA KUMLALAMIKIA KARANI

1. Utamuulizaje mtu kama ni Albino wakati unamwona si albino

2. Utamuulizaje Mwanafunzi wa Chuo aliyepanga hostel kama Anamifugo mahali alipopanga wakati unamwona kabisa hana. Maana unahesabu kitu alichonacho kwenye kaya

3. Utamuulizaje mtu kama ni kilema wa kutembea wakati ulipoingia ulimwona anatembea

4. Utamuulizaje mtu kama anakichwa kikubwa wakati unamwona hana

5. Utamuulizaje Mwanafunzi aliyepanga hostel kama anafuga kuku,ng'ombe au mbuzi.

6. Utamuulizaje mtu kama anajua kusoma na kuandika wakati amekuambia hajawahi kwenda shule

Hebu wanaJF na Makarani wenzangu amueni wenyewe nani anaHANG OVER kati yangu na Mleta Mada
 
Last edited by a moderator:
Mi wameniuliza we mbona mweupe sana alafu akabonyea kwenye karatasi na kuandika Sijui aliandika nin?
 
Si tumekubali kuesabiwa jamani kizalendo! Sasa hata wakiuliza swali moja nyie waacheni jaman
 
Sina imani na sensa hii maana wanachakachua majibu! Hapa kama kile kipengele cha ustaadh ndevu za Usama kingewekwa kulikuwa na hatari ya kujaziwa tofauti! Umesema nina dini ya kijadi jamaa anajipinda kushade kwenye ukristo au uislam! Kazi tunayo!
 
Mie niliuzwa mengi sana hata sikumbuki idadi nadhani yalifika hiyo namba waliyosema.
Mbona Watu wa Mjini Tuliambiwa tutaulizwa maswali mengi zaidi ya 63 lakini mimi nimeulizwa maswali Nane tu oi au Wamechukua vilaza kuwahesabu watu so wameshindwa kusoma vipengele vingi...

1. Jina lako? Duduwasha

2.Umri wako?Old Enough

3.Una Mke? Sijaoa Kwa nini Bahati bado haiafika akacheka! Mdada huyo...

4.Mpo wangapi kwenye kaya yako? Mmoja

5.Una Ulemavu wowote? Sina

6.Unasoma Elimu yako? Chuo nimemaliza! - Nakumbuka Kikwete amesema akimaliza uraisi ataanza kusoma tena? Sijui atasomea wapi au Nje! USA kama sumaye! Tutakimbiwa

7.Upo kwenye mfuko wowote wa Jamii? Ndiyo NSSF Ila wafikishie ujumbe nataka niache kazi niendeleze biashara mafao yangu nayataka yote

8.Una mtu yeyeto aliyesafiri nje ya Nchi? Mdogo wangu amesharejea na ataondoka tena karibuni

Nikawauliza una Yameisha? Wakasema Ndiyo? Nikashangaa! Manake walisema kutakuwa na maswali zaidi ya 60
 
Ni busara tu inatumika hapa hata mimi nina matusi ya kutukana sema sijalelewa mazingira kama yako.

USIKURUPUKE TU NA KUANZA KUMLALAMIKIA KARANI

1. Utamuulizaje mtu kama ni Albino wakati unamwona si albino

2. Utamuulizaje Mwanafunzi wa Chuo aliyepanga hostel kama Anamifugo mahali alipopanga wakati unamwona kabisa hana. Maana unahesabu kitu alichonacho kwenye kaya

3. Utamuulizaje mtu kama ni kilema wa kutembea wakati ulipoingia ulimwona anatembea

4. Utamuulizaje mtu kama anakichwa kikubwa wakati unamwona hana

5. Utamuulizaje Mwanafunzi aliyepanga hostel kama anafuga kuku,ng'ombe au mbuzi.

6. Utamuulizaje mtu kama anajua kusoma na kuandika wakati amekuambia hajawahi kwenda shule

Hebu wanaJF na Makarani wenzangu amueni wenyewe nani anaHANG OVER kati yangu na Mleta Mada

Sio kila Topic lazima Uchangie.. Mimi Nimeandika kilichonitokea kwani Sensa nayo ni kama Siasa? Ukiwataarifu watu kuwa Sensa ina umuhimu na kama kuna maswali yameandaliwa basi yaulizwe yote.

sio sababu umetauliwa kuwa Karani basi ndio ujifanye mjuaji kuliko huyo aliyetunga maneno kwenye Dodoso la Sensa na kama Karani uliyepitia Semina basi utamuweka wazi huyo unayemuhesabu.

mimi nimesema nimeulizwa maswali manane! wewe unaniambia nalalamika JF si ningelalamika Kwa karani wa Sensa!
niambie Umejiunga JF kusumbua na kukera watu? Ushauri wangu Bora uachane na Topic usizozipenda Waacha Mods wa deal na Thread kama wanaona zinafaa au hazifai watazitoa au Wataziacha ziendelee kuyoyoma...

Hii thread itawasaidia hata Sensa zijazo wakiona haya yanayofanyika kwa Makarani Wao...
 
Back
Top Bottom