Maswali ya Kujiuliza Juu ya Kauli ya Mama Diamond juu ya Baba Diamond

Haya mahojiano yana mwaka mmoja pia akiojiwa na huyohuyo Jonijo

 
Anguko linakuja soonest.

Siombei hili litokee bali wanalitengeneza wenyewe. Kufuru wanazozifanya kwa Mungu watajibu wenyewe.

Mungu awasaidie Diamond na Mama yake
Haya mambo yapo siku nyingi sema wameamuamua tu kuyaweka hadhalani sasahivi
 
 
Kwani Abdul YUPO mmoja huyo huyo baba Yake diamond wa kambo?
muache mzee wa watu aishi maisha yake au mnapenda anavyonyanyasika.
Ameshaambiwa mtoto sio wa kwake
BASI.
haya maswali yenu hayamsaidii kitu.
Mama ameshaamua
Mimi nawaza kwa sauti,,Kama mzee Abdul sio Baba ake Mond, Kwanini Mama Dangote aliruhusu mtoto wa Hamisa Mobetto aitwe Abdul?
 
Kwani Abdul YUPO mmoja huyo huyo baba Yake diamond wa kambo?
muache mzee wa watu aishi maisha yake au mnapenda anavyonyanyasika.
Ameshaambiwa mtoto sio wa kwake
BASI.
haya maswali yenu hayamsaidii kitu.
Mama ameshaamua
Kwahiyo diamond ni mtoto wa haramu
 

Mwamba umepiga panga la shingo
 
Tungekua tunafanya mijadala mizito namna hii kuhusu mambo ya uchumi na elimu, tungekua mbali sana!

Acheni kuupa umaarufu upumbavu wa hao malimbukeni!
 
Usilolijua litakusumbua !

Yule mama anajielewa vizuri tu na yule Mzee anaujua ukweli wa swala hilo sema anatafuta huruma ya jamii tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…