ASIWAJU
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 1,939
- 1,625
- Thread starter
- #21
Kwa nini hiyo namna ina kosekana ?Hakuna namna ya Kuvunja Muungano, si kwa katiba ya Muungano wala Mkataba wa Muungano.
Nyerere alikuwa mstari wa mbele kupinga Afrika moja.Mosi ni Shauku ya Nyerere juu ya Afrika moja,
Sijakuelewa hapaPili ni hofu ya Karume juu ya kuatamia mamlaka ya Utawala wa Zanzibar,
Lakini 1967 falsafa mfanano za kikomunisti zili lazimishwa kuingizwa na Nyerere kupitia nchi mmoja iliyo zaliwa baada ya muungano.Tatu ni nchi za Magharibi kuondoa uwezekano wa Zanzibar kuingia kwenye Ukomnisti.