Maswali ya interview walioitwa NSSF

Jamani nimekata Tiketi tayari!kwa ajili ya Interview lakini naona kuna viashiri vingi ambavyo vinaonyesha hao ni matapeli name sio NSSF mbaya zaidi naona mmoja wa matapeli hao nae anacoment APA! Jamaa forum kuhusu hii interview
 
Tufanye uchunguzi before kwenda twendeni hata ofisi za NSSF hizi za mikoani tukaulize kabla ya kwenda ili tupate uhakika
 
Jamani nimekata Tiketi tayari!kwa ajili ya Interview lakini naona kuna viashiri vingi ambavyo vinaonyesha hao ni matapeli name sio NSSF mbaya zaidi naona mmoja wa matapeli hao nae anacoment APA! Jamaa forum kuhusu hii interview

mie nikiwapigia simu nilijuwa sijatumiwa email na walionyesha ushirijiano
 
Mrejesho ni huu jamani kuhusu ile simu. Nimetoka HR-NSSF HQ wamesema ni kweli zile simu tulizopigiwa,kwa hiyo tufuate maelekezo tuliyopewa na hao waliopiga simu. Ni hayo tu wandugu. Tuendelee kujiandaa kwa huo usaili.
 
Tunashukuru sana mkuu kwa ushirikiano wako
 
Mm nimetumiwa msg mbili tofaut kwa wkt tofaut, bila e-mail, ya kwanza haikuonyesha muda na ya pili jana trh 9 desemba inaonyesha namba yangu ya mtihan, muda saa 2:30 asbh, mahali ifm, nibebe na kitambulisho changu.
 
mm mwenyewe cjapata email nimeenda nikakuta na wezangu ambao hawajapata email tukaandikisha majina. plus nikukuta wengine hawakupata message pia wakawa wanaandikisha majina so kama uli apply na hujapata txt wala email nenda hq ukajiandikishe jina
 
Hilo hapana mkuu, mimi nimesoma I.T nimepangiwa asbh, wamechanganya fani tofaut
 
Habari zenu..jaman waloenda nssf kuuliza abt mabadiliko ya serial namba na muda...mmejibiwa vp?
 
Kuna mdau aliweka haya maswali...chek hapa chini...

Pia ingia ktk website yao, chek vision, mission, motto, who are they? And other important details..

1.what are the core function of operations officer?
2.what are difference of NSSF scheme benefits from other schemes?
3.what are the categories does scheme covers?
4. what are the benefits does scheme offer?
 
kwenye mambo yetu ya I.T vp hawawz kuweka practical hawa jamaa? si unajua interview inavyotisha #Bravo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…