Maswali ya interview walioitwa NSSF

Hata mm nimepigiwa kwa namba hii: 0764 140 033. Leo mida ya mchana. Kanambia muda wangu wa interview na serial number imebadilika. Dah,hapa nilipo nipo njia panda jamani. Najiuliza je ni kweli hii call imetoka HR-NSSF au ni mambo ya phishing hayo.
 
Ila kesho nimepanga niende pale NSSF HQ nikapate ufafanuzi zaidi. Nitakuja na mrejesho kwa hili wadau..
 
Ila kesho nimepanga niende pale NSSF HQ nikapate ufafanuzi zaidi. Nitakuja na mrejesho kwa hili wadau..

Ok mdau tunakutegemea kwani hata mimi mwenyewe nimepigiwa simu muda huu
 
Hata mm nimepigiwa kwa namba hii: 0764 140 033. Leo mida ya mchana. Kanambia muda wangu wa interview na serial number imebadilika. Dah,hapa nilipo nipo njia panda jamani. Najiuliza je ni kweli hii call imetoka HR-NSSF au ni mambo ya phishing hayo.

Mimi nimepigiwa kwa namba hii 0765140273 kuwa serial namba imebadilishwa ila muda na siku ni ileile
 
Inshalah tuombe uzima na kupewa ushirikiano wa kuridhisha toka kwa HR-Dept staffs.

Mimi nimepigiwa na namba hii 0765 140 273 kuwa serial namba imebadilika ila muda na siku ni ileile
 
asherybbz swali zuri cz kama mm nimepangwa mchana nimepiga vitu vya I.T mkuu
 
Bora uende ili utujuze mana ata mimi mwenyewe nimepigiwa nakuambiwa serial no yangu imebalika! Mie nimepigiwa na no ya aital
 
Hao nao wanataka kuchanganya watu cha msingi wabandike majina na serial number huko ifm b4 pepa ,kama mm sijapigiwa hio sim
 
jaman email zipo angalien vizur mie nimeiona kwenye spam
 
Tujiadhali wadau hawa watu wasije wakawa matapeli! Tusije poteza nauli zetu tu
 
inafanyika lini na venue gani hiyo interview
 
jaman kwenye mail wamesema twende na vitambulisho mie sina
 
Nimepigiwa simu ya mabadiliko ya serial number, kuna mwingine alopigiwa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…