Maswali ya interview walioitwa NSSF

Maswali ya interview walioitwa NSSF

Joined
Jul 25, 2014
Posts
83
Reaction score
36
Jamani kwa wale wadau ambao tumeitwa interview NSSF mwenye idea ya maswali yanayoulizwa kwenye iyo interview tuje tudiscuss hapa,au kama unakumbuka position description tupeane hapa,..najua maswali hayatakua exactly like here but tupeane ideas alafu at the end of the day kwenye mtihani unachanganya na akili zako za kuzaliwa ,haimaaninishi kama ukuleta idea hapa tutakuzidi au tutakupita najua kila mtu ata gain na kupata kitu kipya. karibuni waDAU WAPENDWA
 
Je ushawahi kupata kichaa
 
1. Wewe ni muumini wa dini gani?

You are among the folks who have minds with limited only to knowledge of factless so they can hardly go beyond that factless knowledge as to reach to the knowledge of real facts and its consequence.

Hivi nikisema baadhi ya MAKAFIRI mna chuki kiasi kwamba mnawadhuru mpaka wenzenu nitakuwa nimekosea??

Mtoa mada ni Mkristo mwenzako, ameitwa katika interview, anahitaji mbinu za kukabiliana na interview mwisho wa siku apate nafasi, iwe faida kwake na kwa jamii yake.

Wewe ndio kwanza unamjengea khofu, na kumfanya ajione hawezi na hatoweza.

Sasa hapo umemsaidia mwenzako au umemuangamiza.

Common and inferior minds always are the source of troubles in any human society, this scenario can be taken as a proof.
 
Ambao hawajaitwa na wenye kaz ndio wanafanya huu upuzi,uzi wenu wa mambo ya dini si upo kule mkakoment mwenzenu kaulizia maswali mnaleta udini wakristo kibao tumeitwa
 
Jamani NSSF wameita intervie zile nafasi za Operation Officer. Wanatuma email na sms. Tarehe 13 mwezi huu.
 
Naomba msaada email inasema nini?Kwa maana mimi sijapokea email ila nimepata sms!
 
Mleta mada msaada tafadhali,email inasema nini?,mimi nimetumiwa sms pekee,itakua saa ngapi?
 
Tarehe 13 interview ifm ni written wameandika na serial namba na post ulioomba,mbona hio ya msg mi cjackia umetumiwa lini?
 
mie nimepata sms emai cjapata. tusaidien maswali jaman
 
Tarehe 13 interview ifm ni written wameandika na serial namba na post ulioomba,mbona hio ya msg mi cjackia umetumiwa lini?

Nimetumiwa leo sms inaeleza yote uliyoyasema kasoro serial namba ndio haina na mwisho inasema for more details read your email. HR department NSSF.
 
hata mimi nimepata text message but email sijapata..
Nilisha sahau kama niliomba kazi huko duuuh
 
Nimetumiwa leo sms inaeleza yote uliyoyasema kasoro serial namba ndio haina na mwisho inasema for more details read your email. HR department NSSF.

Angalia email yako,wameandika pale ur serial number is ....,sa cjui ndio hizo tutakazotumia
 
Umetumiwa lini?
inasema uende interview kwa post hio ulioomba mahali wanataja na muda na pia kua ni interview ya written na serial namba wanakupa
Nimetumiwa leo.Naomba kujua muda ni saa ngapi kwa sababu kwenye sms hawajataja muda.
 
Umetumiwa lini?
inasema uende interview kwa post hio ulioomba mahali wanataja na muda na pia kua ni interview ya written na serial namba wanakupa

Hiyo serial number wanasemaje itatumika wakati wa interview!?Maana kwangu nahisi ishakua ngumu email sijapata bado!
 
Dume jike. Kuna wengine humu hatukutumiwa email. Tumetumiwa sms tu ambayo haijaeleza muda wa interview,naomba tujulishe interview ni saa ngapi?
 
Back
Top Bottom