Maswali ya interview TAESA

Mtu Mbadi kuna process za kufanya taesa ili akaunti yangu ibadilike? Maana nimeshafanya interview na internship nimeshaanza tangu 1 March, lakini akaunti yangu bado inaonesha pending interview.
 
Hapo wafate ofisin kwao mkuu, japo kama ushaanza internship sizani kama kuna shida yeyote inaweza tokea na hiyo pending ya kweny account yako..
 
Training na interview ulifanya mwezi upi ?
 
Hapo wafate ofisin kwao mkuu, japo kama ushaanza internship sizani kama kuna shida yeyote inaweza tokea na hiyo pending ya kweny account yako..
Nimeshaanza internship, je kuna mkataba natakiwa kusign na taesa? Maana sijui kama nitapata hizo fedha za kujikimu.
 
Je kwa mtu aliyegraduate labda miaka 6 iliyopita lakini hakuwahi kupata ajira anaweza kuhudumiwa na taesa? Pia je wanataka watu wenye degree au hat diploma? Pia vipi unaweza kujisajili kwao kwa kuwafuata ofisini bila kupitia online? Kwa Dar ofisi zao ziko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…