Maswali ya interview TAESA

Mkuu ulifanya mwaka gani?
Nimefanya vyote mwezi wa 8 mwaka 2023 .. na Mimi Nina tabia haipiti siku bila kutembelea account ya taesa .. mwenzi wa 8 wote Kila siku naingia kwenye account.

Pia nilivyomaliza interview niliulizwa una swali lolote la katuuliza nikauliza kinachofuata baada ya hapa ni kipi akasema nisubiri internship..
 
Ukishabook hapo hapo kama training Ipo wanakuonyesha na tarehe

Kuna dogo wangu yeye alifanya booking tarehe 6 na kumbe walifamuwekea tarehe 7 aende kwenye training ila akazembea na tarehe imeshapita nimeshindwa kumwambia aende ata j3 tu ndio kamaliza juzi tu chuo.
 
Inabid aende ofisin kwao kama Yuko karibu, au awapigie simu watampa maelekezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…