captain sparrow
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 958
- 2,079
Mkuu inamaana hapa ukishindwa wanakujulisha kwa ajili ya kurudia interview?Inafeli vizuri kabisa na unarudia interview,
Mkishafanya interview baada ya siku moja kwenda mbele muangalie kwenye account zenu huwa wanaweka matokeo
Ulifanya interview Arusha janaMkuu inamaana hapa ukishindwa wanakujulisha kwa ajili ya kurudia interview?
Pole mkuuNimetoka interview TAESA maswali magumu balaa[emoji20][emoji20][emoji20]
Kwasasa Website zao zimefungwa kama Unataka kujisajili? Kwangu inagoma sijui shida niniMkuu inamaana hapa ukishindwa wanakujulisha kwa ajili ya kurudia interview?
Ipo active mkuu, screenshot unayoiitumiaKwasasa Website zao zimefungwa kama Unataka kujisajili? Kwangu inagoma sijui shida nini
Kwasasa Website zao zimefungwa kama Unataka kujisajili? Kwangu inagoma sijui shida nini
NLMISKwasasa Website zao zimefungwa kama Unataka kujisajili? Kwangu inagoma sijui shida nini
Yeah utaona kwenye account yako, pale sehemu ya interview bonyeza paleMkuu inamaana hapa ukishindwa wanakujulisha kwa ajili ya kurudia interview?
Njoo PM nikupe namba za Mtu wa Hapo TAESAHabar zenu naomba mnisaidie maswali yanayoulizwa kwenye interview ya Taesa.
Shukrani
Unapewa marks tu kwahiy kama upo below 50 ina maan hujafanya vzr unawez kuwaomba another intavyuuSidhan maana Ile nahis ni kupima Tu uelewa wako juu ya training Yao Ila wako vizuri sana binafsi Jana nimekuwa mmojawapo tuliopata training na interview nimejua mengi Sana, Taesa wako vizuri sana
Ok! Nishapewa majibu ya optitude test hayo walitoa Mda huo huo Tu baada ya kusubmit, interview tulifanya siku iyo iyo pia Ila majibu bado hayajatokaUnapewa marks tu kwahiy kama upo below 50 ina maan hujafanya vzr unawez kuwaomba another intavyuu
Kipindi nafanya mm aptude test haikuwa tayaar tuliambia mfumo wa hiyo kitu bado hawajauweka sawa..july hii..Ok! Nishapewa majibu ya optitude test hayo walitoa Mda huo huo Tu baada ya kusubmit, interview tulifanya siku iyo iyo pia Ila majibu bado hayajatoka
Majibu ya oral interview ulipewa?Kipindi nafanya mm aptude test haikuwa tayaar tuliambia mfumo wa hiyo kitu bado hawajauweka sawa..july hii..
Tukafanya zingm nikascore 78 interview
Itatoka just wait
Hiyo ilikuwa ni optitude test au? Maana majibu yake yanatoka hapo hapoKipindi nafanya mm aptude test haikuwa tayaar tuliambia mfumo wa hiyo kitu bado hawajauweka sawa..july hii..
Tukafanya zingm nikascore 78 interview
Itatoka just wait
Oral? Kwan taesa now wana interview ngap? Mm nilifanya training hapo hapo tukapiga interview oral ndo hizo maks wakaniwekea kwenye accMajibu ya oral interview ulipewa?
Nadhan ni mbili iyo online test Yao, na oral after training...huwa wanachukua Mda gani kuyatoa? Maana kweny ACC yangu naona majibu ya optitude test Tu...sehemu ya oral interview bado Iko pending, Ila training na optitude kuna tickOral? Kwan taesa now wana interview ngap? Mm nilifanya training hapo hapo tukapiga interview oral ndo hizo maks wakaniwekea kwenye acc
Watakuwekea tu mm ilikaa kama four days hiviNadhan ni mbili iyo online test Yao, na oral after training...huwa wanachukua Mda gani kuyatoa? Maana kweny ACC yangu naona majibu ya optitude test Tu...sehemu ya oral interview bado Iko pending, Ila training na optitude kuna tick
Umefanya lini aptitude test? Mimi sijawahi kupewa aptitude test wanaandika prepare for the testOk! Nishapewa majibu ya optitude test hayo walitoa Mda huo huo Tu baada ya kusubmit, interview tulifanya siku iyo iyo pia Ila majibu bado hayajatoka