Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

nilivoona njia mpya basi nikajua ni kitu advanced, kumbe ndo hizo zilipendwa

Weka basi hizo zinapendwa...haina haja ya kuonyesha kejeli, inawezekana upo more knowledgeable share basi tupate udambwi udambwi ila kwa mtu kama mimj ambaye nikipata muda nnachek movie mpya century Cinemax, nikitaka ku download naenda kwenye torrents au putlockers na ninapata ninachotaka siwezi kufahamu hizo njia mpya zaidi, nilikuwa ninakereka sana na ads ndio maana nilivyoipata hii nika share...embu share na wewe na ninakuahidi ikiwa ni njia mpya ambayo sihifahamu na haina ads wala subscription nakutumia 50k attach your number PM
 
Sio kejeli mkuu, ni kwamba tu imenikumbusha enzi hizo maana niliitumiaga zamani baada ya kuachana na combination ya gomovies na IDM, Ila baada ya kudownload chinese dubbed movies mara kadhaa nikaiona sio poa nikarudi tu kwenye IDM. Ila siku hizi huwa nadownload torrent kwenye cloud storage afu nazishusha kwa IDM fasta tu.
lengo ilikuwa sio kejeli.
Weka basi hizo zinapendwa...haina haja ya kuonyesha kejeli, inawezekana upo more knowledgeable share basi tupate udambwi udambwi ila kwa mtu kama mimj ambaye nikipata muda nnachek movie mpya century Cinemax, nikitaka ku download naenda kwenye torrents au putlockers na ninapata ninachotaka siwezi kufahamu hizo njia mpya zaidi, nilikuwa ninakereka sana na ads ndio maana nilivyoipata hii nika share...embu share na wewe na ninakuahidi ikiwa ni njia mpya ambayo sihifahamu na haina ads wala subscription nakutumia 50k attach your number PM

Sent from my SM-P601 using JamiiForums mobile app
 
Ingia hii website
Filechef.com

Kisha search movie ama series yoyote unayotaka kisha search.

Hio website itakusaidia kugoogle upate direct link ya hio movie ama series.

Utaingia site husika na kucopy kisha utapaste kwenye vlc na kuangalia.

Kupate kwenye vlc utaclick file kisha network stream.

Alternative taja unachotaka kuangalia nikuwekee direct link.
Blindspot
 
Back
Top Bottom