Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Chief-Mkwawa.... picha hizi hapo chini..
tapatalk_1584881098545.jpeg
tapatalk_1584881071565.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
App ya kijinga hiyo bwana.

Low quality eti unakuta movie Ina mB 140 nilicheka kweli ha ha.

Kwa wapenzi wa movie wanaelewa nasema nini inabidi uangalie movie ipo full mb kuanzia 900 kwenda juu.
 
Kama mtapenda kuna website moja hivi! Unaingia Google au opera mini andika mobilemovie.info ile ya kwanza kabisa bonyeza botton unaingia unakutana na kila aina ya movie unazozitaka! Iko poa sana na Mimi ndo natumia kupakua movie huko toka 2016-2020
 
Quality zake zipoje mkuu?
 
Kama mtapenda kuna website moja hivi! Unaingia Google au opera mini andika mobilemovie.info ile ya kwanza kabisa bonyeza botton unaingia unakutana na kila aina ya movie unazozitaka! Iko poa sana na Mimi ndo natumia kupakua movie huko toka 2016-2020
Mbona nakutana na picha za wadada wapo uchi uchi mkuu hebu tuwekee hata screenshot kidogo ili tupate muangaza mkuu
 
Kama mtapenda kuna website moja hivi! Unaingia Google au opera mini andika mobilemovie.info ile ya kwanza kabisa bonyeza botton unaingia unakutana na kila aina ya movie unazozitaka! Iko poa sana na Mimi ndo natumia kupakua movie huko toka 2016-2020
Mbona hawakupi option ya ku search moves zako unazo zitaka mkuu.
 
Back
Top Bottom