Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

uhamiaji subirini tumalizie interview tpdc then mtoe shortlist hakuna kulalaaaaa hapa kote kote mpaka kieleweke
 
Suali langu lina husu passport, kwa mtu anaye hitaji passport imekua ni deal kubwa hapo uhamaji hasa kwa wenye sili ya kisomali
Mwenyeasili ya kisomali akipeleka maombi ya passport basi cha kwanza unatishiwa hapo, unaambiwa hii kesi ni ngumu saana, cha pili wana anza kuku hangaisha huku na kule, na hapo una kila kitu, vyeti yote vya kuzaliwa na vya shule, n.k. ndio hapo sasa inapokuja masuala ya hongo na sasa kila siku wanazidi kubandisha hiyo hongo.

Je hao viongozi wanalishughulikia vipi kuhusu suala kamahilo.
Tuna fahamu kwamba uhamiaji wameweka vikwazo ili wasiokua raiawasi weze kupewa passport, lakini imekua ni mwanzo wa kutengeneza hela, rushwaili upewe passport
 
So what...watu wanaongelea swala la ajira wewe unaleta swala jingine...aisee peleka sehemu husika.
 
Mimi Nina passport ya East Africa je naweza safiria kwenda msumbiji ?

Unaweza tena bila visa nimekaa kule mkoa wa mpakani na hiyo nchi wengi wanaenda hata bila passport za JMT wanapewaga temporary Id tu za kuingia na muda wa kukaa kule.
 
Huu uzi umevamiwa na wahamiaji haramu.

Sisi tunazungumzia ajira wao wanatia huruma kuhusu passports.

Nendeni kupeleka hoja zenu jukwaa husika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom