Santi
JF-Expert Member
- Oct 30, 2016
- 555
- 1,214
Kiongozi ilikuwaje hii,,!!Nyoka kumgonga binadam ni mara chache sana mimi nilishawahi kukaa na nyoka kwenye cabin ya fuso bonge la nyoka na mara nyingi huwa anamkimbia binadam
Kiongozi ilikuwaje hii,,!!Nyoka kumgonga binadam ni mara chache sana mimi nilishawahi kukaa na nyoka kwenye cabin ya fuso bonge la nyoka na mara nyingi huwa anamkimbia binadam
Kiongozi ukiniambia huyu jamaa hapa haoni inakuwaje??Chatu hana meno! Labda chatu wa mizimu ya kwenu!, pili, nyoka haoni anahisi, hili nimeshali practice sana patamela forest national reserve. Ukikutana na nyoka simama! Immediately!. Then anaondoka mwenyewe [HASHTAG]#elimukwenuwajingawajingakamawewe[/HASHTAG]!
Na yale macho yake ni mapambo au? Na je hawezi kuja kwa hisia mpaka uliposimama?Chatu hana meno! Labda chatu wa mizimu ya kwenu!, pili, nyoka haoni anahisi, hili nimeshali practice sana patamela forest national reserve. Ukikutana na nyoka simama! Immediately!. Then anaondoka mwenyewe [HASHTAG]#elimukwenuwajingawajingakamawewe[/HASHTAG]!
labda sio chatu mwenye njaaaChatu hana meno! Labda chatu wa mizimu ya kwenu!, pili, nyoka haoni anahisi, hili nimeshali practice sana patamela forest national reserve. Ukikutana na nyoka simama! Immediately!. Then anaondoka mwenyewe [HASHTAG]#elimukwenuwajingawajingakamawewe[/HASHTAG]!
Kiongozi umeeleza vizuri sana.KUPUNGUZA UWEZEKANO WA KUGONGWA NA NYOKA
1) maeneo Karibu na nyumba:, weka mazingira yasiyo rafiki kwa nyoka. Piles ya mawe na tofali nje ya nyumba ukiacha muda mrefu inakuwa ni mazingira rafiki kwa nyoka, malundo ya majani makavu na pia kuacha nyasi bila kuzikata kunawavuta nyoka. Usiache kuwe na mashimo mashimo na matundu kwenye nyumba (regular house repair kuondoa mashimo ni vzr). Mashimo ni sehemu nzuri sana nyoka kujificha. Pia dhibiti uwepo wa panya nyumbani kwako. Panya ni chakula murua kwa nyoka,
2) maeneo ya pori.
Aidha uwe mwangalifu unapotembea porini. Ukiwa porini nyoka wengi will detect presence yako well in advance na often watakimbia bila wewe kuwaona. Exception ni endapo nyoka yupo kwenye territory yake na hana kwa kukimblia. The only option ni ku-fight back. Or nyoka kama vifutu hawakimbii na hao ni nyoka hatari zaidi, ila atakugonga endapo tu utamkanyaga. Good news ni kwamba mpaka umkanyage labda wewe ni kiziwi. Unapowakaribia hawa nyoka hutoa sauti (puffing sound au rattling sound kwa jamii hii inayopatokana nothern hemisphere e.g., North America.)
Kwa kifupi hizo ndizo mbinu za kukabiliana na hawa jamaa. Mwenye uelewa zaidi tujuzane