Maswali mengine yanaboa kwa kweli

Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Umeyasahau na yale maswali wakat na kabla ya gugegedana..yanakera
 
Umenifurahishaaaa kula tano, vichwa vyetu vinafikiri sawa. Kwani shing' ngapi, unandai? Nimeipenda hiyo.

 
Nimecheka sana leo..... Kuna mwingine anakuona unatoka Job anakuuliza ndo unatoka job... Mie saa nyingine huwa nawajibu ndo nakwenda ha ha maswali siyapendi hayo au mtu anakukuta unakula anakuuliza ndo unakula sasa hivi ha ha sijui ujibuje jameni kha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…