Maswali mawili yanayokera wanaume!!

Hakuna mwanaume rijari anayefurahiaga hayo maswali..labda uwe na tabia za kike....
I hate those questions plus kupigiwapigiwa simu na msg kila dk...

Ninamashaka na Kiwango cha uaminifu wako kwa mkeo/mpnzio
 
Kwan ww unajickiaje ikiwa utamjulisha mwenzio unapoenda na unachoenda kufanya kabla hajakuuliza? Mm acponiambia mapema anapokwenda na anachoenda kufanya hayo maswali haya hepukiki kinyume na hapo cmpendi
 
Kwann ukereke ??? Swali rahisi inakuaje unakua na hasira hasira mkeo akikuuuliza kwani si uliamua mwnyw kua nae kuna ubaya gani ktk ilo swali ???? Mambo mengine ya ajabu sana
 
Kumbe yanakera...! Ila ndo bas tena huwa nauliza na ntaendelea kuuliza
 
Kama ulikuwepo vile! Yaani unatamani kasim kapate matatizo ya ghafla ili kukatiza mazungungumzo ya namna hiyo.

Usumbufu ukizidi just divert calls kwenda kampuni yoyote ambayo unahakika lugha ambayo wanatumia haijui kama china ama Japan au uarabuni kisha zima Simu...
 
Komredi hiyo ni live kabisa. Naona kama aina ya maswali kwa wanawake wote inafanana. Halafu iwe bahati mbaya simu yako isipatikane au uwe unaongea na mtu mwingine-unapigwa swali la tatu:ulikuwa unaongea na nani, maana kila nikikupigia naambiwa unaongea...

Tatizo zaidi ni kwamba wao hawataki kuulizwa maswali wanayotuuliza sisi; sijui labda wanaona wanaume tuna michepuko sana au ndivyo wanawake walivyo?
 
mwanamke akipenda tofaut na mwanamme
mwanamke anapenda mazma mwanamme anapenfa na bd anazd kutaman na wengn
 
Back
Top Bottom