Uchaguzi 2020 Maswali magumu kwa Tume ya Uchaguzi NEC

kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,632
2,413
1. Nini tathimini ya Tume kuhusu mchakato mzima wa kupokea na kurudisha fomu za wagombea, mapingamizi na rufaa kwa wagombea hasa kwa nafasi za Ubunge na Udiwani?

2. Nini tathimini ya Tume kuhusu mapingamizi yoote yaliyowakiliishwa Tume kutoka kwa wasimamizi wa uchaguzi (Wakurugenzi) kwamba yanavihusu vyama vya upinzani tu tena viwili (ACT na CHADEMA).

3. Mpaka sasa Tume imepiga chini na kuyakataa asilimia kubwa ya mapangamizi yaliyowakiliswha na wasimamizi wa uchaguzi na kuwarejesha wagombea.Je ni kweli kwamba kuna ila zilizofanywa na wasimamizi au ni uelewa mdogo wa wasimamizi katika swala zima la usimamizi wa chaguzi?na kama uelewa ni mdogo je Tume inakili kuwa haikutoa elimu ya kutosha kwa wasimamizi wa uchaguzi na kwa hiyo kuna hatari ya haya mapungufu yakaendelea kujitokeza wakati wa kupiga kura?

4. Mchakato wa Tume kupitia na kutoa maamuzi ya rufaa za wagombea inaonekana kuchukua mda mrefu na mpaka sasa haujakamilika. Je Tume ina mpango gani wa kuongeza mda wa kampeni ili kufidia mda kwa ajli ya wagombea ambao watashinda rufaa zao? kama haitaongeza mda, je tume haioni kuwa itakuwa haijawatendea haki zao za kikatiba hawa wagomgea watakaopitishwa?

5. Inaonekana sababu nyingi zilizotolewa na waweka mapingamizi sio za msingi saana kwa mfano mgombea kushindwa kujaza fomu vizuri. Je tume inakiri kuwa haikutimiza wajibu wake vizuri wa kutoa elimu kwa wagombea? na kama ni kweli kwa nini Tume isiwapitishe wagombea woote wasiokuwa na mapingamizi ya makosa ya jinai na ibaki kushughulikia mapingamizi ya makosa ya Jinai tu kama ya mgombea kutokuwa rai (Bona kaluah) na kosa kutolipa kodi (mwanyika).

6.Kama kweli Tume ina nia njema ya kuyafanyia kazi mapigamizi na rufaa kwa mda kwa nimi isingeanza na rufaa za mabunge ambazo ni chache (ikielewa kuwa wana sehemu nyingi za kuzunguka kuliko madiwani) na kisha ikafanyia kazi rufaa za madiwani baadae? tofauti na sasa inavyochanganya rufaa zota na kutoa maamuzi taratibu? (hii sio “rocket science” kutambua haya mapungufu kama kweli Tume ina nia njema).

7. Je Tume ina mpango gani na wasimaizi walionekana wazi kufanya ila katika zoezi la kupokea fomu za wagombea?

8. Je Tume imeendaa semina elekezi kwa vyombo na mamlaka zote zinazosimamia uchaguzi mfano Polisi juu ya usimamizi wa HAKI katika mchakato mzima wa uchaguzi?
 
1. Nini tathimini ya Tume kuhusu mchakato mzima wa kopokea & kurudisha fomu za wagombea, mapingamizi na rufaa kwa wagombea hasa kwa nafasi za Ubunge na Udiwani?

2. Nini tathimini ya Tume kuhusu mapingamizi yoote yaliyowakiliishwa Tume kutoka kwa wasimamizi wa uchaguzi (Wakurugenzi) kwamba yanavihusu vyama vya upinzani tu tena viwili (ACT na Chadema).

Umeandika vizuri sana. Asante Kasenene ka Katikomile
 
Unfortunately hawatakujibu,Lakini tunaposema Tume ya Uchaguzi Tanzania siyo Huru ndicho tunachomaanisha.Wasimamizi wasaidizi ngazi za majimbo na kata ni watumishi wa Umma,wengi wao wanafahamika ni CCM na hiyo wanalazimika kukitumikia chama chao.Wasipofanya hivyo waliambiwa watakuwa wamejifukuzisha kazi,unategemea watende haki? Mwenye mamlaka ya jumkataa mgombea wa chama chochote ni mpiga kura.
 
1. Nini tathimini ya Tume kuhusu mchakato mzima wa kopokea & kurudisha fomu za wagombea, mapingamizi na rufaa kwa wagombea hasa kwa nafasi za Ubunge na Udiwani?

2. Nini tathimini ya Tume kuhusu mapingamizi yoote yaliyowakiliishwa Tume kutoka kwa wasimamizi wa uchaguzi (Wakurugenzi) kwamba yanavihusu vyama vya upinzani tu tena viwili (ACT na Chadema).

3. Mpaka sasa Tume imepiga chini na kuyakataa asilimia kubwa ya mapangamizi yaliyowakiliswha na wasimamizi wa uchaguzi na kuwarejesha wagombea.Je ni kweli kwamba kuna ila zilizofanywa na wasimamizi au ni uelewa mdogo wa wasimamizi katika swala zima la usimamizi wa chaguzi?na kama uelewa ni mdogo je Tume inakili kuwa haikutoa elimu ya kutosha kwa wasimamizi wa uchaguzi na kwa hiyo kuna hatari ya haya mapungufu yakaendelea kujitokeza wakati wa kupiga kura?

4. Mchakato wa Tume kupitia na kutoa maamuzi ya rufaa za wagombea inaonekana kuchukua mda mrefu na mpaka sasa haujakamilika. Je Tume ina mpango gani wa kuongeza mda wa kampeni ili kufidia mda kwa ajli ya wagombea ambao watashinda rufaa zao? kama haitaongeza mda, je tume haioni kuwa itakuwa haijawatendea haki zao za kikatiba hawa wagomgea watakaopitishwa?

5. Inaonekana sababu nyingi zilizotolewa na waweka mapingamizi sio za msingi saana kwa mfano mgombea kushindwa kujaza fomu vizuri. Je tume inakiri kuwa haikutimiza wajibu wake vizuri wa kutoa elimu kwa wagombea? na kama ni kweli kwa nini Tume isiwapitishe wagombea woote wasiokuwa na mapingamizi ya makosa ya jinai na ibaki kushughulikia mapingamizi ya makosa ya Jinai tu kama ya mgombea kutokuwa rai (Bona kaluah) na kosa kutolipa kodi (mwanyika).

6.Kama kweli Tume ina nia njema ya kuyafanyia kazi mapigamizi na rufaa kwa mda kwa nimi isingeanza na rufaa za mabunge ambazo ni chache (ikielewa kuwa wana sehemu nyingi za kuzunguka kuliko madiwani) na kisha ikafanyia kazi rufaa za madiwani baadae? tofauti na sasa inavyochanganya rufaa zota na kutoa maamuzi taratibu? (hii sio “rocket science” kutambua haya mapungufu kama kweli Tume ina nia njema).

7. Je Tume ina mpango gani na wasimaizi walionekana wazi kufanya ila katika zoezi la kupokea fomu za wagombea?

8. Je Tume imeendaa semina elekezi kwa vyombo na mamlaka zote zinazosimamia uchaguzi mfano Polisi juu ya usimamizi wa HAKI katika mchakato mzima wa uchaguzi?
Matatizo yote yameletwa na mtu mmoja tu , mgonjwa wa bipolar disorder kwa maagizo yake , kwingine kote mnazunguka tu .
 
Uongozi mbovu kabisa wa nchi kuwahi kutokea.
 
Hawa wasimamizi wasaidizi wakifanya makosa ya aina hiyo na kutangaza washindi katika ngazi ya udiwani na ubunge, hali itakuwaje? Ijulikane kuwa tume ya uchaguzi haina mamlaka ya kutengua mshindi aliyekwisha tangazwa na masimamizi au mzimamizi msaidizi, Hii ni hatari sana.

Pili katika hali kama hiyo tume ya uchaguzi itakuwa na uhakika gani kuwa matokeo ya urais itakayokuwa inatumiwa toka majimboni ni sahihi? Maana yatatumwa na wakurugenzi hawa hawa!

Kuna hoja ya taarifa ya rufaa kutaja kata moja mara mbili - inahitaji majibu vinginevyo inawezekana kuna mgombea anacheleweshwa kuanza kampeni Soma uzi huu hapa: Tume ya Uchaguzi fafanua hili haraka
 
Back
Top Bottom