kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,342
- 12,065
Zungusha antenaNaanza kupata mwanga kwa mbaaali , lakini bado kuna chengachenga .
Zungusha antenaNaanza kupata mwanga kwa mbaaali , lakini bado kuna chengachenga .
who is Okonkwo? currentlySasa chukulia kwenye current situation
tujuze tutakipata vipi?UKISOMA KITABU CHA HOFU UTAYAJUA MAMBO MENGI SANA YA KIJASUSI
hitting at shaddowsView attachment 390356 embu tupeane elimu kidogo, kule juu walikua wanadungua nini? Au majambazi yalikua kwenye dari
Unaushaidi na maneno yako?Pia mkumbuke kwamba kuna mbinu za kuwachomoa viongozi Wa juu Wa jeshi hill ambao sio sehemu ya 'Program'.
Kipindi hiki kama una nafasi ya juu unapaswa ujiulize sana maswali kwamba in mkono Wa Nani hadi kufika hapo ulipo.
Tuombe Mungu Tanzania iendelee kuwa na utulivu wakuu..View attachment 390356 embu tupeane elimu kidogo, kule juu walikua wanadungua nini? Au majambazi yalikua kwenye dari
Mkuuu,duuh umefika mbalilabda alionekana popo bawa.. sababu popobawa wanapendelea kunasa juu kwa juu..
Hakuwepo Joram Kiango?View attachment 390356 embu tupeane elimu kidogo, kule juu walikua wanadungua nini? Au majambazi yalikua kwenye dari
Wewe ushaidi unautaka wa kazi gani?Unaushaidi na maneno yako?
Umenikumbusha mbali kaka, Form IIIB.View attachment 390360View attachment 390361RIP Kamanda umenikumbusha kifo cha Ikemefuna katika Things fall apart
Kwa hii picha inaonesha mashujaa wetu walikua eneo lenye mwinuko au kiliman,dats y matundu yapo juujuuView attachment 390356 embu tupeane elimu kidogo, kule juu walikua wanadungua nini? Au majambazi yalikua kwenye dari
Mkuu naweza kipata wapi hicho kitabuUKISOMA KITABU CHA HOFU UTAYAJUA MAMBO MENGI SANA YA KIJASUSI