kyatamato
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 387
- 269
labda alionekana popo bawa.. sababu popobawa wanapendelea kunasa juu kwa juu..View attachment 390356 embu tupeane elimu kidogo, kule juu walikua wanadungua nini? Au majambazi yalikua kwenye dari
labda alionekana popo bawa.. sababu popobawa wanapendelea kunasa juu kwa juu..View attachment 390356 embu tupeane elimu kidogo, kule juu walikua wanadungua nini? Au majambazi yalikua kwenye dari
Namim nmekumbuka mkuu okoñkwo aliua eti kisa tamadunView attachment 390360View attachment 390361RIP Kamanda umenikumbusha kifo cha Ikemefuna katika Things fall apart
Sasa chukulia kwenye current situationNamim nmekumbuka mkuu okoñkwo aliua eti kisa tamadun
Situation zinarelate coz matukio yote yanalengo lakumtoa mtu sadaka kwalengo lakujisafisha, ikemefuna aliuawa ili kuondoa nuksi kweny jamii yao ila lahuyu mjeda bado cjajuaSasa chukulia kwenye current situation
Wivu husuda visasi?Situation zinarelate coz matukio yote yanalengo lakumtoa mtu sadaka kwalengo lakujisafisha, ikemefuna aliuawa ili kuondoa nuksi kweny jamii yao ila lahuyu mjeda bado cjajua
Wait a minute....! Kumbe watu walikuwa hawatanii...!Pia mkumbuke kwamba kuna mbinu za kuwachomoa viongozi Wa juu Wa jeshi hill ambao sio sehemu ya 'Program'.
Kipindi hiki kama una nafasi ya juu unapaswa ujiulize sana maswali kwamba in mkono Wa Nani hadi kufika hapo ulipo.
Rhetorics hizi ni hatari sana...!!Wivu husuda visasi?
The reality showRhetorics hizi ni hatari sana...!!
Well I! I see.The reality show
Hata kama hao wanaodaiwa majambazi walikuwa kwenye dari risasi hizo zisingewapata maana kiujenzi zipigwa chini ya dari. Hizi ni dalili wazi za kukosa umakini kazini!!! Hao ndio walinzi wa mali na uhai wa Watanzania!!! Ni afadhali nijilinde mwenyewe kwa panga langu.View attachment 390356 embu tupeane elimu kidogo, kule juu walikua wanadungua nini? Au majambazi yalikua kwenye dari
Malipo ya kitu gani na amelipwa nani?YAANI MALIPO NI HAPAHAPA DUNIANI
-'Asante ya Punda ni Mateke'
-'Tenda Wema, uende zako'
Rest In Peace Afande uliejitolea maisha yako kwa ajili ya Watanzania.

PointPia mkumbuke kwamba kuna mbinu za kuwachomoa viongozi Wa juu Wa jeshi hill ambao sio sehemu ya 'Program'.
Kipindi hiki kama una nafasi ya juu unapaswa ujiulize sana maswali kwamba in mkono Wa Nani hadi kufika hapo ulipo.
SiasaSasa chukulia kwenye current situation
Duuhhh......!!!.... haya bhana.....YAANI MALIPO NI HAPAHAPA DUNIANI
Imefanyeje....??INTELEJENSIA