Maswali magumu kifo cha askari

Maswali magumu kifo cha askari

kama asikari walizingira ile nyumba na kuishambulia na jambazi hawajampata..basi ile nyumba itakua na handaki la mwendo kasi..
 
kama asikari walizingira ile nyumba na kuishambulia na jambazi hawajampata..basi ile nyumba itakua na handaki la mwendo kasi..
 
Hicho kitabu cha hofu kinapatikana je!?
 
Ulikuwa mpango wa kumuondoa ili waendelee na yao.
 
Jamaa kapigwa risasi na wenzake baada ya kutokua na mawasiliano kabla.... Ile nyumba haikua na majambazi zaidi ya mama na mwanae... Yale marisasi yalikua ni kucover story tu hamna cha majambazi....

Anyway natania tu
 
Back
Top Bottom