Maswali kwa mzee Edward Lowassa

Maswali kwa mzee Edward Lowassa

Wasiotaka kuambiwa ukweli watazidi kuburuzwa.
 
Ukweli utabakia kuwa ukweli,vijana ,bodaboda msiburuzwe.
 
Kiukweli miaka 54 ya utawala giza linatawala nchi !
Pamoja na kua tupo ktk election seasonal !
Tv tunazo but still hatuoni kinachojiri nchini !
Kuipa ccm kura ni kwenye vichwa vyenye hitilafu .
 
Hivi inakuingia akilini mtu aliyekuwa serikalini miaka 35.

Aliyekuwa mbunge miaka 25.

Aliyekuwa Waziri miaka 19.

Aliyekuwa Waziri mkuu miaka 2.
Eti hajui kero zetu! eti anatembea kwa wananchi kuulizia kero zao!

kama hujui kero zetu unagombea Urais ukafanye nini?

Ni bora tumpe ambae ameshatatua baadhi ya kero zetu aende kumaliza kuzitatua maana alizitatua katika majukumu aliyokuwa amepewa na aliyatatua kikamilifu bila makandokando yoyote.

#Hapa_Kazi_Tu

#Kura_Yangu_Nampa_Magufuli_Wewe pia fanya uamuzi sahihi mpe kura yako.

Magamba bana
 
kwann usimuulize magufuli anashangaa nchi haina kiwanda cha kusindika fish wakati pembeni yake kina maraisi waliopita na anayemaliza musa wake
 
Tatizo mkiambiwa ukweli mnakasirika,mtaisoma namba.
 
Mi naona wotenapiga kelele humu..Maneno ya nini simsubiri siku ifike..wewe unajifanya una zungumzia zungumzia nini. nawakati uraisi apati baba ako..Tusubiri siku ifike muone uraisi sio kama mpira wa simba na yanga
 
Hivi inakuingia akilini mtu aliyekuwa serikalini miaka 35.

Aliyekuwa mbunge miaka 25.

Aliyekuwa Waziri miaka 19.

Aliyekuwa Waziri mkuu miaka 2.
Eti hajui kero zetu! eti anatembea kwa wananchi kuulizia kero zao!

kama hujui kero zetu unagombea Urais ukafanye nini?

Ni bora tumpe ambae ameshatatua baadhi ya kero zetu aende kumaliza kuzitatua maana alizitatua katika majukumu aliyokuwa amepewa na aliyatatua kikamilifu bila makandokando yoyote.

#Hapa_Kazi_Tu

#Kura_Yangu_Nampa_Magufuli_Wewe pia fanya uamuzi sahihi mpe kura yako.

Hotuba za Magufuli ni kama vile CCM imeundwa leo...
1. Anashangaa kuanzia Tanga hadi Mtwara hakuna kiwanda kikubwa cha samaki... ANAMSHANGAA NANI..?? JK, CCM au Wananchi..???
2. Anashangaa mikopo haipatikani na wakati ni mikopo... ANAMSHANGAA NANI..?? JK, CCM au Wananchi..???
3. Magufuli anashangaa hospitali hakuna dawa lakini duka lililopo nje ya hospitali lina dawa, ANAMSHANGAA NANI..?? JK, CCM au Wananchi..???
4. Juzi JK kasema ujenzi kumejaa rushwa, na huko ndo kunaongoza kwa makandarsi ndugu kupeana kazi na barabara hazina viwango.. Naye huyu anamshangaa nani..?? Magufuli, CCM au Wananchi..???

Yaani CCM kila mtu anamshangaa mwenzake... HAKUNA ANAYEJISHANGAA YEYE MWENYEWE....

... ILE AHADI YA GRID YA TAIFA KULE SONGEA ..... WE NGOJA TU.....

Halafu mkumbuke ili mshinde uchaguzi ujao, CCM kwa idadi yenu (kama wote mtaichagua CCM) kura hazitoshi... MTAHITAJI HATA ZA ''WAPUMBAVU'' na ''MALOFA'' ili zitoshe.... KWAZI KWENU
 
Hivi inakuingia akilini mtu aliyekuwa serikalini miaka 35.

Aliyekuwa mbunge miaka 25.

Aliyekuwa Waziri miaka 19.

Aliyekuwa Waziri mkuu miaka 2.
Eti hajui kero zetu! eti anatembea kwa wananchi kuulizia kero zao!

kama hujui kero zetu unagombea Urais ukafanye nini?

Ni bora tumpe ambae ameshatatua baadhi ya kero zetu aende kumaliza kuzitatua maana alizitatua katika majukumu aliyokuwa amepewa na aliyatatua kikamilifu bila makandokando yoyote.

#Hapa_Kazi_Tu

#Kura_Yangu_Nampa_Magufuli_Wewe pia fanya uamuzi sahihi mpe kura yako.

Mkuu wa kaya mwenyewe hajui kwanini walimpa ukuu wa kaya ni masikini sasa hayo maswali unayomuuliza Raisi ajaye yana uhalali gani kama aliyepo sasa hajui?
 
Kiukweli miaka 54 ya utawala giza linatawala nchi !
Pamoja na kua tupo ktk election seasonal !
Tv tunazo but still hatuoni kinachojiri nchini !
Kuipa ccm kura ni kwenye vichwa vyenye hitilafu .
Mkubwa, hitilafu inarekebishika, kuipa kura CCM ni sawa na kuwa LODI LOFA
 
Hana uwezo wa kujenga hoja,so atawezaje kuwa rais?
 
Hivi inakuingia akilini mtu aliyekuwa serikalini miaka 35.

Aliyekuwa mbunge miaka 25.

Aliyekuwa Waziri miaka 19.

Aliyekuwa Waziri mkuu miaka 2.
Eti hajui kero zetu! eti anatembea kwa wananchi kuulizia kero zao!

kama hujui kero zetu unagombea Urais ukafanye nini?

Ni bora tumpe ambae ameshatatua baadhi ya kero zetu aende kumaliza kuzitatua maana alizitatua katika majukumu aliyokuwa amepewa na aliyatatua kikamilifu bila makandokando yoyote.

#Hapa_Kazi_Tu

#Kura_Yangu_Nampa_Magufuli_Wewe pia fanya uamuzi sahihi mpe kura yako.

i?
Kwani Magufuli nae si amekaa serikalini miaka 25 si na yeye anatakiwa awe anazijua akae tu nyumbani asifanye kampen
 
Umekurupuka kwa kasi ya ajabu.
Pole sana

Hivi inakuingia akilini mtu aliyekuwa serikalini miaka 35.

Aliyekuwa mbunge miaka 25.

Aliyekuwa Waziri miaka 19.

Aliyekuwa Waziri mkuu miaka 2.
Eti hajui kero zetu! eti anatembea kwa wananchi kuulizia kero zao!

kama hujui kero zetu unagombea Urais ukafanye nini?

Ni bora tumpe ambae ameshatatua baadhi ya kero zetu aende kumaliza kuzitatua maana alizitatua katika majukumu aliyokuwa amepewa na aliyatatua kikamilifu bila makandokando yoyote.

#Hapa_Kazi_Tu

#Kura_Yangu_Nampa_Magufuli_Wewe pia fanya uamuzi sahihi mpe kura yako.
 
Itabid tutumie msemo mmoja wa wamarekani "No matter whether he will bring development or not we will choose Obama to show the world that America is for everyone"

Sisi tunasema "No matter whether he will bring development or not we will choose Lowasa from UKAWA to show the World that Tanzania is not for CCM only"...,,,
Finally mi pia lofa

With highly appreciation please receive my humble big up
They have eyes but they didint see the truth b'se of blinded eyes.
 
Ukawa sera yenu ni nn?mbona mnatoka mapovu kusema ccm haina sera?
 
Hivi inakuingia akilini mtu aliyekuwa serikalini miaka 35.

Aliyekuwa mbunge miaka 25.

Aliyekuwa Waziri miaka 19.

Aliyekuwa Waziri mkuu miaka 2.
Eti hajui kero zetu! eti anatembea kwa wananchi kuulizia kero zao!

kama hujui kero zetu unagombea Urais ukafanye nini?

Ni bora tumpe ambae ameshatatua baadhi ya kero zetu aende kumaliza kuzitatua maana alizitatua katika majukumu aliyokuwa amepewa na aliyatatua kikamilifu bila makandokando yoyote.

#Hapa_Kazi_Tu

#Kura_Yangu_Nampa_Magufuli_Wewe pia fanya uamuzi sahihi mpe kura yako.

kaka nani kasema kwamba hajui kero za wananchi?,au hujui kwamba kampeni zimeanza? soma taratibu za kampeni za NEC utaelewa,na kama ndo hivyo,unamzungumziaje samia?
 
Back
Top Bottom