Maswali kwa mzee Edward Lowassa

Maswali kwa mzee Edward Lowassa

Robethn

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
2,103
Reaction score
354
Hivi inakuingia akilini mtu aliyekuwa serikalini miaka 35.

Aliyekuwa mbunge miaka 25.

Aliyekuwa Waziri miaka 19.

Aliyekuwa Waziri mkuu miaka 2.
Eti hajui kero zetu! eti anatembea kwa wananchi kuulizia kero zao!

kama hujui kero zetu unagombea Urais ukafanye nini?

Ni bora tumpe ambae ameshatatua baadhi ya kero zetu aende kumaliza kuzitatua maana alizitatua katika majukumu aliyokuwa amepewa na aliyatatua kikamilifu bila makandokando yoyote.

#Hapa_Kazi_Tu

#Kura_Yangu_Nampa_Magufuli_Wewe pia fanya uamuzi sahihi mpe kura yako.
 
KWELI CCM HAMNA TENA SERA ZA MAANA,SASA NDIO NINI HIKI? nawewe unaelekea kule kwenye mipasho na matusi kama wazee wenu wa CCM,Watanzania wanataka HOJA ZA MUHIMU KWAO NA SIO UZUSHI,nyie ngojeni October 25.
 
Itabid tutumie msemo mmoja wa wamarekani "No matter whether he will bring development or not we will choose Obama to show the world that America is for everyone"

Sisi tunasema "No matter whether he will bring development or not we will choose Lowasa from UKAWA to show the World that Tanzania is not for CCM only"...,,,
Finally mi pia lofa
 
Duuu nimeipenda, nachukua ikiwa hivi hivi!
 
Hivi inakuingia akilini mtu aliyekuwa serikalini miaka 35.

Aliyekuwa mbunge miaka 25.

Aliyekuwa Waziri miaka 19.

Aliyekuwa Waziri mkuu miaka 2.
Eti hajui kero zetu! eti anatembea kwa wananchi kuulizia kero zao!

kama hujui kero zetu unagombea Urais ukafanye nini?

Ni bora tumpe ambae ameshatatua baadhi ya kero zetu aende kumaliza kuzitatua maana alizitatua katika majukumu aliyokuwa amepewa na aliyatatua kikamilifu bila makandokando yoyote.

#Hapa_Kazi_Tu

#Kura_Yangu_Nampa_Magufuli_Wewe pia fanya uamuzi sahihi mpe kura yako.

Rais:sijui kwanini watanzania ni masikini
 
Mzee hana jibu kabisa

Wewe twambie leo hii magufuri anatwambia kuwa atahakikisha wanafunzi hawakai tena chini baada ya ccm kutawala nchi kwa miaka 54,na yeye alikuwa kwenye utawala huo kwa miaka 20 je alishindwa nini kuyarekebisha hayo ktk miaka yote hiyo kama siyo msanii?chaguo la watanzania ni lowasa
 
tutampa ngoja kwanza tuiondoe ccm najua atakua upinzani.
 
KWELI CCM HAMNA TENA SERA ZA MAANA,SASA NDIO NINI HIKI? nawewe unaelekea kule kwenye mipasho na matusi kama wazee wenu wa CCM,Watanzania wanataka HOJA ZA MUHIMU KWAO NA SIO UZUSHI,nyie ngojeni October 25.

Mkuu ccm hakuna cha sera wameamua kututukana sasa watanzania na kwakuwa sisi ni wanyonge majibu yetu ni kwenye sanduku la kura kwa kuwachagua wagombea wa ukawa,na kuwanyima ccm kura
 
tutampa ngoja kwanza tuiondoe ccm madarakani najua atakuja upinzani.
 
Wacha wapige kelele, ikifika tarehe 31 wasikimbiye tu kwenye mitandao. Wataisoma namba Hapa Kazi Tu.
 
Back
Top Bottom