Maswali kumi kwa David Kafulila kuhusu IPTL

Kazi ya wachumia tumbo bwana ni kutunga na kyuzusha tutaona mwisho wao, hivi sasa wanakosa hata usingizi wakiwaza watalipaje fedha kwa kuchafua majina ya watu, ndio wakome.

IPTL/PAP inajua ni namna gani
hisa za VIP walivyozinunua. Vilevile inafahamu namna hisa
za Mechmar zilivyo nunuliwa sisi ni wataalamu wa masuala ya
biashara , uwekezaji, uzalishaji, na viwanda hii si siasa
wafanye siasa yao bila kuingilia masuala ya kitaalamu.
Kupoteza muda wa watanzania kuwajadilisha masuala binafsi
tena kwa uongo wa hali ya juu ni jambo ambalo halivumiliki
kuwakalia kimya wanasiasa kwahivyo ni kuutumia vibaya muda
wa watanzania.
 
[h=3]PAP: IPTL takeover was a clean deal[/h]

​

Dar es Salaam. The executive chairman of Pan Africa Power Solutions Ltd (PAP), Mr Harbinder Singh Sethi, has finally come out this week to defend the way his company acquired Independent Power Tanzania Limited (IPTL).

Mr Sethi termed the deal ‘a clean transaction’, denying any wrongdoing in the business acquisition on Tuesday. He claimed that his company followed all the legal and regulatory procedures to acquire IPTL.

“I followed all the procedures....I did not come to Tanzania to make money....I want to help Tanzania to get sufficient electricity that is vital for economic development,” he told a section of journalists in Dar es Salaam from office premises of his company.

His response comes almost a week since The Citizen started to comprehensively report on how the deal involving IPTL and PAP was planned, funded and executed.

On Monday, The Citizen reported that the $122 million (Sh201 billion), which was in the escrow account held at the Bank of Tanzania (BoT), was transferred to PAP account between November 28 and December 8, last year.

Escrow account is a financial instrument held by a third party on behalf of the other two parties in a transaction. The funds are held by the escrow service until it receives the appropriate written or oral instructions or until obligations have been fulfilled.

However, Mr Sethi puts the amount that was/is in the escrow account at about Sh150 billion, noting, however, that there was nothing wrong with his company transferring the assets for IPTL -- including money -- to PAP since the latter is the legally-accredited holding company for IPTL. Before being acquired by PAP, IPTL was jointly owned by a Malaysian firm, Mechmar Corporation, and Tanzania’s VIP Engineering and Marketing Company Limited, with the former controlling a 70 per cent stake.

The company, according to its secretary and chief counsel, Mr Joseph Makandege, operated peacefully for just about five years before the unending wrangles erupted between the two shareholders --prompting money to be sent to the escrow account held at the BoT.

“With squabbles between shareholders, VIP Engineering and Marketing Company Limited became suspicious that the money would be defrauded so the proprietor sought a court order -- demanding that money, paid by Tanesco [the Tanzania Electric Company Limited] to IPTL, should be deposited in the escrow account at the BoT,” he explained.

In 2010, Mr Sethi brought all the documents -- which, however, were not handed to The Citizen for verification -- confirming that he has been duly chosen as the custodian for all of Mechmar assets in Tanzania.

The court cases notwithstanding, Mr Sethi went ahead to buy all the shares that Mechmar had earlier sold to Piperlink and transferred them to PAP. This, in essence, meant that Mr Sethi – through PAP - now owned 70 per cent of shares in IPTL, with VIP owning the remaining 30 per cent.

He later engaged VIP so he could buy the latter’s 30 per cent stake. “VIP agreed and was paid $7.51 million as down payment for a deal totalling $75 million,” explained Makandege, noting that the remainder was covered later. Having settled the deal, VIP went to court requesting the judge to drop all the cases involving VIP and Mechmar.
The court ruled -- on September 5, 2013 -- in favour of VIP and all the cases were dropped. PAP was thus granted the ownership of all of IPTL assets -- including money in the escrow account. PAP also agreed to pay all IPTL creditors. The duty of the provisional liquidator ended there.

The new company, according to Mr Makandege, then embarked on a duty of searching for wherever IPTL assets were. It arranged a meeting with Tanesco where they arrived at the right amount that the state-owned utility firm owed IPTL. “In fact, Tanesco board directed the management to inform key stakeholders that there were no more disputes between the state power company and IPTL – resulting in an official end of depositing IPTL money into the escrow account,” he said.

The duty ahead of PAP remained that of making sure that money from the escrow account was transferred into the PAP account.

“With that, an agreement had to be signed between IPTL and the government through the ministry of Energy and Minerals....it should be noted that money in the escrow account belonged to two of IPTL shareholders.....it was neither taxpayers’ money nor money for Standard Chartered Bank Hong Kong,” said Mr Makandege.

The government also required PAP to sign an Indemnity Agreement to the effect that whenever a new creditor comes, then PAP would be responsible. The government then wrote to BoT demanding that the money be released to the rightful and legally-accredited owner.

“That was how the money was released,” he explained.

On claims by Standard Chartered Bank Hong Kong, Mr Makandege said the financial entity was not legally recognised to be the project finance lender to IPTL. This, he said was because agreements that Mechmar and Standard Chartered Bank had gone outside Tanzania had not been domesticated. “So in short, Standard Chartered Bank is not one of the IPTL creditors that PAP legally inherited,” he said.

He, however, noted that they were aware that IPTL had, in 1995, sought a $105 million loan from Standard Chartered Bank Hong Kong.

The company ended up getting $84 million out of the $105 million that was approved. After completing the construction of IPTL plant, the company started repaying the loan in 2000 and by 2005, it had repaid a total of $38 million. After 2005, IPTL was placed under the provisional liquidator and according to Tanzania’s laws, a financial entity cannot charge interest on a company that is under liquidation.

Until 2007, IPTL had repaid another $20 million – bringing the total repaid amount to $58 million.

“This means that the total amount of Standard Chartered Bank Hong Kong’s loan to IPTL now stands at $26 million....this is the money that we may pay if they prove to us that they are one of the IPTL creditors in Tanzania,” he said.

On future plans for IPTL, Mr Sethi said he is determined to invest up to $1 billion and bring the company’s production capacity up to 500MW in the next few years.
Running on Heavy Furnace Oil (HFO), he said, since late last year, the company produces up to 90MW of electricity – up from about 30MW, thanks to the investment he had made in equipment.

According to Mr Sethi, the company’s capacity charges are the lowest compared to other independent producers that use HFO. This information, however, could not be independently verified by The Citizen

HABARI HURU: PAP: IPTL takeover was a clean deal

IPTL/PAP inajua ni namna gani
hisa za VIP walivyozinunua. Vilevile inafahamu namna hisa
za Mechmar zilivyo nunuliwa sisi ni wataalamu wa masuala ya
biashara , uwekezaji, uzalishaji, na viwanda hii si siasa
wafanye siasa yao bila kuingilia masuala ya kitaalamu.
Kupoteza muda wa watanzania kuwajadilisha masuala binafsi
tena kwa uongo wa hali ya juu ni jambo ambalo halivumiliki
kuwakalia kimya wanasiasa kwahivyo ni kuutumia vibaya muda
wa watanzania.
 
kampuni binafsi na makini kama IPTL/PAP ina sera
zake na misingi yake ya uendeshwaji , hivyo kuruhusu hisia
binafsi za wanasiasa uchwara kutawala mjadala kuhusu
uendeshwaji wa kampuni ni upuuzi wa kiwango kikubwa.
“Nawasihi wanasiasa hao japo tunatambua ni wakina nani
wanawatumia na kwa maslahi gani? kamwe wasichokoze moto
wasioweza na muda si mrefu tutaweka wazi uozo wao
wote ,
 
Baada ya kufuatilia na kushiriki mjadala huu mpana wenye maslahi kwa taifa letu nimepata maswali kumi ambayo ndugu yangu david kafulila anaweza kunisaidia kuyajibu kuhusu iptl na escrow.

1.JE Anaijua historia ya iptl vizuri au anaifahamu kwa kupitia kusoma raia mwema na machapisho ya zitto kabwe

2.JE Anafahamu mchakato wa mauziano ya hisa ulivyofanyika kati ya mechmar corporation (malaysia)berhard kwenda pap,anajua kwamba seth aliomba kuuziwa sehemu ya hisa za iptl tanzania yaani 70% za iptl zilizokuwa chini ya mechmar lakini akakataliwa kutokana na sheria za biashara kimataifa kutoruhusu mwangalizi kununua hisa za kampuni anayoisimamia,na hivyo hisa kuuzwa kwa kampuni ya piper link,hivyo seth singh alilazimika kuomba piperlink imuuzie hisa zake ndani ya iptl tanzania,na manunuzi hayo yalifuata taratibu zote za kisheria ikiwa pamoja na kununua madeni yote ya kampuni,je analijua hili?

3.JE Kafulila anafahamu masuala yote yalioleta utata kuhusu capacity charges za kuzalisha umeme kati ya iptl na tanesko yaliamriwa na kupatiwa ufumbuzi katika mahakama ya kimataifa ya biashara,na masuala ya mgawanyo wa mapato kati ya wanahisa yaani vip na mechmar yalipatiwa ufumbuzi katika mahakama kuu tanzania chini ya jaji ukama,hukumu iliyopelekea kuanzishwa kwa akaunti ya escrow ambayo kimsingi ilikua inatunza malipo ya wanahisa yanayotokana na mauzo ya umeme wanaozalisha na kuizia taneko baada ya usuluhishi wao mahakama ya kibiashara kuhusu capacity charges.

4.JE Kafulila anafamu kuwa vip iliuza hisa zake kwa pap baada ya kufikia makubaliano ya bei ya hisa zote 30% za vip?,Na kumfanya harbinder seth singh kuwa mmiliki halali wa asilimia zote mia za iptl

5.JE Kafulila anafahamu kuwa mmiliki wa vip bwana rugemalira sio mtumishi wa umma na hivyo kama raia wengine ana haki ya kutumia fedha zake alizopata kwa njia halali ya kuuza hisa zake ndani ya kampuni anavyotaka bila kuvunja sheria,bila kuingiliwa na mtu yeyote hata kama amehonga mwanamke,ametupa jalalani,amekunywa pombe au ametoa msikitini/kanisani/shuleni/ametoa msaada kwenye kwaya/kumpa mchepuko hata bilioni mbili,maana ni zake na kafulila hatakiwi kufuatilia maisha ya mtu binafsi maana hata rugemalira afuatilii maisha ya kafulila.

6.JE Kafulila anafahamu kuwa iptl ndio kampuni pekee inayookoa fedha za watanzania kwenye nishati kwasababu ya kuwauzia umeme kwa bei nafuu kuliko kampuni anayoipigia debe na iliyomtuma kuichafua iptl yaani symbioon ambayo inaiuzia tanesco umeme unit moja kwa zaidi ya elfu moja wakati iptl inaiuzia umeme tanesco chini ya shiling mia tano kwa unit na imeanza mazungumzo kushusha umeme hadi sh 90 kwa unit,je haoni anatumika vibaya na kampuni yenye wivu wa kibiashara kuchafua iptl ambayo ni mkombozi wa tanzania

7.JE Kafulila ana majibu gani baada ya kulidanganya bunge kuhusu mmiliki wa iptl harbinder seth singh kufukuzwa na kutotakiwa kufanya biashara kenya kwa sababu ya ufisadi wakati wiki iliyopita iptl ilikabidhiwa barua na waziri wa nishati kenya kupewa tender ya kuzalisha umeme mw 2000.?

8.JE Kafulila anazungumziaje tuhuma za yeye kupokea milioni tisini kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa walioathirika na kitendo cha waziri mpya wa nishati na madini sospeter muhongo kufunga mirija ya kifisadi waliyokuwa wanatumia kujinufaisha na kuifilisi nchi (rostam,mengi,mkono) ili awachafue na kuwakomoa muhongo na katibu wake maswi?

9.JE Kafulila haoni ni muda sahihi wa yeye kuwataka radhi iptl na watanzania kwa kutumika na mafisadi ili kurudisha heshima yake kwa watanzania.

10.JE Kafulila anataka tumtambuaje baada ya haya yote,mpigaji?/Mzalendo/mtu wa kutumia fursa/au mtumikaji?

Naomba kuwasilisha ili mkuu kafulila aweze kuyajibu,karibuni kwenye mjadala

mmh maswali mazito hayo,kafulila atakua na majibu yake
 
kampuni binafsi na makini kama IPTL/PAP ina sera
zake na misingi yake ya uendeshwaji , hivyo kuruhusu hisia
binafsi za wanasiasa uchwara kutawala mjadala kuhusu
uendeshwaji wa kampuni ni upuuzi wa kiwango kikubwa.
"Nawasihi wanasiasa hao japo tunatambua ni wakina nani
wanawatumia na kwa maslahi gani? kamwe wasichokoze moto
wasioweza na muda si mrefu tutaweka wazi uozo wao
wote ,

kafulila afunguka na kulalamika serikali inataka kuchelewesha mjadala bungeni,na kutoa vitisho dhidi ya serikali kuwa bungeni hakutakalika kama ripoti haitaenda bungeni kikao kijacho
 
Hivi huyu Kafulila haoni ni muda sahihi kwa yeye kuwataka radhi
iptl na watanzania kwa kutumika na mafisadi ili kurudisha
heshima yake kwa watanzania.
 
Kafulila analalamika kwamba PAP/IPTL
imelipwa kwa makosa yeye ndie anayefanya makosa
ya kupotosha ukweli wa suala hilo au labda
waeleze kwamba Standard Chartered ni Shirika
la Umma.
 
Acha upuuzi wa kujidai unawaheshimu sana WaTz!? tangu lini mmekuwa na huruma nao!?
 
mbona unapanic,tubishane kwa hoja na si kwamaneno ya kashfa,kama unahoja tupia hapa tuone,ninachokiona humu ni majungu na watu wapo wamewekwa kabisa kwa kazi hiyo ili waje kutuaminisha huongo humu jf na wengine ni watu wakubwa tu kisiasa,kwamfano kafulila na zitto wapo kwaajili ya watu(mafisadi)kwa maslahi binafsi.
 
Mahakama Kuu iliamriwa kufunguliwa kwa akaunti
maalumu itakayokuwa inatunza fedha zinazolipwa
na TANESCO kwa ajili ya huduma ya umeme
inayotumia.
Katibu na Mwanasheria wa Kampuni ya IPTL, PAP,
Joseph Makandege alisema hawana kesi na
TANESCO na anashangazwa na taarifa
zinazotolewa.
“Si kweli kwamba ESCROW akaunti ilifunguliwa
kutokana na maombi ya TANESCO kuhusiana na
mgogoro wa capacity charge, Kesi ya TANESCO
iliisha 2001, na akaunti ya ESCROW
ilifunguliwa kwa hukumu ya 2006.
 
Kafulila analalamika kwamba PAP/IPTL
imelipwa kwa makosa yeye ndie anayefanya makosa
ya kupotosha ukweli wa suala hilo au labda
waeleze kwamba Standard Chartered ni Shirika
la Umma.
Mahakama Kuu iliamriwa kufunguliwa kwa akaunti
maalumu itakayokuwa inatunza fedha zinazolipwa
na TANESCO kwa ajili ya huduma ya umeme
inayotumia.
Katibu na Mwanasheria wa Kampuni ya IPTL, PAP,
Joseph Makandege alisema hawana kesi na
TANESCO na anashangazwa na taarifa
zinazotolewa.
“Si kweli kwamba ESCROW akaunti ilifunguliwa
kutokana na maombi ya TANESCO kuhusiana na
mgogoro wa capacity charge, Kesi ya TANESCO
iliisha 2001, na akaunti ya ESCROW
ilifunguliwa kwa hukumu ya 2006.
 
Baada ya kufuatilia na kushiriki mjadala huu mpana wenye maslahi kwa taifa letu nimepata maswali kumi ambayo ndugu yangu david kafulila anaweza kunisaidia kuyajibu kuhusu iptl na escrow.

1.JE Anaijua historia ya iptl vizuri au anaifahamu kwa kupitia kusoma raia mwema na machapisho ya zitto kabwe

2.JE Anafahamu mchakato wa mauziano ya hisa ulivyofanyika kati ya mechmar corporation (malaysia)berhard kwenda pap,anajua kwamba seth aliomba kuuziwa sehemu ya hisa za iptl tanzania yaani 70% za iptl zilizokuwa chini ya mechmar lakini akakataliwa kutokana na sheria za biashara kimataifa kutoruhusu mwangalizi kununua hisa za kampuni anayoisimamia,na hivyo hisa kuuzwa kwa kampuni ya piper link,hivyo seth singh alilazimika kuomba piperlink imuuzie hisa zake ndani ya iptl tanzania,na manunuzi hayo yalifuata taratibu zote za kisheria ikiwa pamoja na kununua madeni yote ya kampuni,je analijua hili?

3.JE Kafulila anafahamu masuala yote yalioleta utata kuhusu capacity charges za kuzalisha umeme kati ya iptl na tanesko yaliamriwa na kupatiwa ufumbuzi katika mahakama ya kimataifa ya biashara,na masuala ya mgawanyo wa mapato kati ya wanahisa yaani vip na mechmar yalipatiwa ufumbuzi katika mahakama kuu tanzania chini ya jaji ukama,hukumu iliyopelekea kuanzishwa kwa akaunti ya escrow ambayo kimsingi ilikua inatunza malipo ya wanahisa yanayotokana na mauzo ya umeme wanaozalisha na kuizia taneko baada ya usuluhishi wao mahakama ya kibiashara kuhusu capacity charges.

4.JE Kafulila anafamu kuwa vip iliuza hisa zake kwa pap baada ya kufikia makubaliano ya bei ya hisa zote 30% za vip?,Na kumfanya harbinder seth singh kuwa mmiliki halali wa asilimia zote mia za iptl

5.JE Kafulila anafahamu kuwa mmiliki wa vip bwana rugemalira sio mtumishi wa umma na hivyo kama raia wengine ana haki ya kutumia fedha zake alizopata kwa njia halali ya kuuza hisa zake ndani ya kampuni anavyotaka bila kuvunja sheria,bila kuingiliwa na mtu yeyote hata kama amehonga mwanamke,ametupa jalalani,amekunywa pombe au ametoa msikitini/kanisani/shuleni/ametoa msaada kwenye kwaya/kumpa mchepuko hata bilioni mbili,maana ni zake na kafulila hatakiwi kufuatilia maisha ya mtu binafsi maana hata rugemalira afuatilii maisha ya kafulila.

6.JE Kafulila anafahamu kuwa iptl ndio kampuni pekee inayookoa fedha za watanzania kwenye nishati kwasababu ya kuwauzia umeme kwa bei nafuu kuliko kampuni anayoipigia debe na iliyomtuma kuichafua iptl yaani symbioon ambayo inaiuzia tanesco umeme unit moja kwa zaidi ya elfu moja wakati iptl inaiuzia umeme tanesco chini ya shiling mia tano kwa unit na imeanza mazungumzo kushusha umeme hadi sh 90 kwa unit,je haoni anatumika vibaya na kampuni yenye wivu wa kibiashara kuchafua iptl ambayo ni mkombozi wa tanzania

7.JE Kafulila ana majibu gani baada ya kulidanganya bunge kuhusu mmiliki wa iptl harbinder seth singh kufukuzwa na kutotakiwa kufanya biashara kenya kwa sababu ya ufisadi wakati wiki iliyopita iptl ilikabidhiwa barua na waziri wa nishati kenya kupewa tender ya kuzalisha umeme mw 2000.?

8.JE Kafulila anazungumziaje tuhuma za yeye kupokea milioni tisini kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa walioathirika na kitendo cha waziri mpya wa nishati na madini sospeter muhongo kufunga mirija ya kifisadi waliyokuwa wanatumia kujinufaisha na kuifilisi nchi (rostam,mengi,mkono) ili awachafue na kuwakomoa muhongo na katibu wake maswi?

9.JE Kafulila haoni ni muda sahihi wa yeye kuwataka radhi iptl na watanzania kwa kutumika na mafisadi ili kurudisha heshima yake kwa watanzania.

10.JE Kafulila anataka tumtambuaje baada ya haya yote,mpigaji?/Mzalendo/mtu wa kutumia fursa/au mtumikaji?

Naomba kuwasilisha ili mkuu kafulila aweze kuyajibu,karibuni kwenye mjadala

Mahakama Kuu iliamriwa kufunguliwa kwa akaunti
maalumu itakayokuwa inatunza fedha zinazolipwa
na TANESCO kwa ajili ya huduma ya umeme
inayotumia.
Katibu na Mwanasheria wa Kampuni ya IPTL, PAP,
Joseph Makandege alisema hawana kesi na
TANESCO na anashangazwa na taarifa
zinazotolewa.
“Si kweli kwamba ESCROW akaunti ilifunguliwa
kutokana na maombi ya TANESCO kuhusiana na
mgogoro wa capacity charge, Kesi ya TANESCO
iliisha 2001, na akaunti ya ESCROW
ilifunguliwa kwa hukumu ya 2006.
 
Kafulila toa hizo nyaraka 600 ulizo nazo ili watanzania tukuamini kuwaa wewe siyo mchumia tumbo! unajua sana wewe kuchonga, umeteleza safari hii bila nyaraka 600 hatuna imani nawewe. Ndio maana umetelekezwa peke yako sababu hakuna mwanasiasa mwingine anayeamini msimamo wako. Kila siku wewe tu unayezungumzia sakata hili ulilolitengeneza, watu tunafaamu ukweli jinsi unavyotumika.
 
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila, amedai kuwapo kwa mkakati wa kuzuia ripoti ya uchunguzi wa fedha za Escrow zaidi ya Sh. bilioni 400, isijadiliwe katika mkutano ujao wa Bunge mjini Dodoma.​

Kafulila ambaye pia ni Katibu Mwenezi wa NCCR-Mageuzi, alitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam kuhusu mkakati wa kuulinda ufisadi wa kiasi hicho kikubwa cha fedha ambao alidai unafanywa na kampuni za ufuaji umeme na baadhi ya vigogo wa serikali.​

​

Kwa mujibu wa Kafulila, kumekuwapo na kampeni ya kupotosha ukweli kuhusu madai ya ufisadi huo wa fedha ambao anadai unaratibiwa na baadhi ya watu waliojitoa kufahamu kutetea wizi.​

​

“Napenda kusisitiza kwamba, fedha za Escrow Dola milioni 270 (zaidi ya Shilingi bilioni 400), zimetolewa kifisadi na ndiyo sababu kwa muda sasa kumekuwapo mkakati wa kuzuia ripotri za uchunguzi zisijadiliwe bunge lijalo,” alisema Kafulila na kuongeza:​

“Wito wangu kwa serikali ni kuwa endapo ripoti hii haitaletwa,Bunge lijalo halitakalika. Nitapeleka hoja ya kutokuwa na imani na serikali.”​

​

Alisema kutokana na hali hiyo, hadi sasa nchi wahisani hazijachangia bajeti kwani zinasubiri utekelezaji wa ripoti ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) pamoja na Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).​

Kwa mujibu wa Kafulila, anao ushahidi wa nyaraka takribani 600 zinazothibirisha fedha hizo kutolewa kifisadi huku akihoji sababu za Takukuru na CAG kutotoa taarifa za uchunguzi kuhusu madai hayo.​

​

Alisema, ripoti hiyo isipojadiliwa kwenye Bunge hilo, ataomba mahakama itoe amri kwamba mbunge asiwe mjumbe wa bodi ya mashirika ya umma na kutoa hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu na Rais.​

​

Akizungumza kwa njia ya simu na NIPASHE, Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dk. Edward Hoseah, alisema, hakuna mtu anayeweza kukwamisha kazi yao na kuwa muda wowote ripoti ikiwa tayari wanaiwasilisha.​

CHANZO:
NIPASHE

kwahyo siyo Bil200, ni Bil 400 kubadilika kwa hizo figure hakubadilishi ukweli kuwa unachokiongea ni uzushi mtupu!!
Toa nyaraka tumbili acha kuchonga!! Kama Tumbili atakuwa na ushahidi zaidi ya zile ten files ambazo zilibadilika na kuwa kielelezo cha jinsi taratibu zilivyofutwa kabla ya fedha kukabidhiwa kwa IPTL basi na mimi ntamuunga mkono kwenye mapambano.

​
 
Nashindwa kuelewa hofu ya Kafulila inatoka wapi??? Nahapa ndio palipo ibuka ile thread

"" https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/725255-sakata-la-iptl-na-escrow-cag-anatumika-vibaya.html""

Kwanini Kafulila ang'ang'anie huyu mzee wa watu aendelee na kazi wakati muda wake wa kupumzika umefika?? Walikuwa na mpango gani mpaka Kafulila amtangazie kwa umma kwamba mzee Utouh anastaafu??
Nakwanini tunapoteza imani kwa mtu ambae anakuja kuchukua nafasi ya CAG hata kabla hatujaona utendaji wake??
Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya hesabu za serikali kashasema alipozungumza na Gazeti la Rai Tar 2-8,2014 kuwa ripoti itaingia mikononi mwake wiki hiyo ya tarehe tajwa ;Attachment 191045

Hizi ni dalili mbaya kuwa Kafulila anataka kuyakataa matokeo ya uchunguzi kama yatakuwa hayajarinda interest zake!
Hata jana tumemkoti alivyoeleza wasiwasi wake kuwa ripoti inaweza isijadiriwe bungeni, mbona yeye tu anaye tapatapa??

""""Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila, amedai kuwapo kwa mkakati wa kuzuia ripoti ya uchunguzi wa fedha za Escrow zaidi ya Sh. bilioni 400, isijadiliwe katika mkutano ujao wa Bunge mjini Dodoma.

Kafulila ambaye pia ni Katibu Mwenezi wa NCCR-Mageuzi, alitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam kuhusu mkakati wa kuulinda ufisadi wa kiasi hicho kikubwa cha fedha ambao alidai unafanywa na kampuni za ufuaji umeme na baadhi ya vigogo wa serikali.

Kwa mujibu wa Kafulila, kumekuwapo na kampeni ya kupotosha ukweli kuhusu madai ya ufisadi huo wa fedha ambao anadai unaratibiwa na baadhi ya watu waliojitoa kufahamu kutetea wizi.

"Napenda kusisitiza kwamba, fedha za Escrow Dola milioni 270 (zaidi ya Shilingi bilioni 400), zimetolewa kifisadi na ndiyo sababu kwa muda sasa kumekuwapo mkakati wa kuzuia ripotri za uchunguzi zisijadiliwe bunge lijalo," alisema Kafulila na kuongeza:

"Wito wangu kwa serikali ni kuwa endapo ripoti hii haitaletwa,Bunge lijalo halitakalika. Nitapeleka hoja ya kutokuwa na imani na serikali."

Alisema kutokana na hali hiyo, hadi sasa nchi wahisani hazijachangia bajeti kwani zinasubiri utekelezaji wa ripoti ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) pamoja na Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Kwa mujibu wa Kafulila, anao ushahidi wa nyaraka takribani 600 zinazothibirisha fedha hizo kutolewa kifisadi huku akihoji sababu za Takukuru na CAG kutotoa taarifa za uchunguzi kuhusu madai hayo.

Alisema, ripoti hiyo isipojadiliwa kwenye Bunge hilo, ataomba mahakama itoe amri kwamba mbunge asiwe mjumbe wa bodi ya mashirika ya umma na kutoa hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu na Rais.

Akizungumza kwa njia ya simu na NIPASHE, Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dk. Edward Hoseah, alisema, hakuna mtu anayeweza kukwamisha kazi yao na kuwa muda wowote ripoti ikiwa tayari wanaiwasilisha.

CHANZO: NIPASHE""""

KAFULILA HUISHIWI MANENO WEWE???? MARA RIPOTI INACHEREWA, MARA INACHAKACHULIWA , MARA HAIJADIRIWI, TUKUELEE NINI MBONA KILA SIKU MALALAMIKO WEWE???????

kAFULILA ATUAMBIE NI SHIRINGI NGAPI SASA MAANA ANATUCHANGANYA SISI MARA BIL 200, MARA BIL 400 KIPI NI KIPI???WABUNGE WENZAKO HATA KAMBI YA UPINZANI IMESHAPIMA NA KUGUNDUA KUWA UNAPIGANIA TUMBO LAKO NASIYO MASLAHI YA TAIFA HILI NDIO MAANA WAMEKUACHA UPAMBANE MWENYEWE.

Attached Thumbnails
 
Nashindwa kuelewa hofu ya Kafulila inatoka wapi??? Nahapa ndio palipo ibuka ile thread

"" https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/725255-sakata-la-iptl-na-escrow-cag-anatumika-vibaya.html""

Kwanini Kafulila ang'ang'anie huyu mzee wa watu aendelee na kazi wakati muda wake wa kupumzika umefika?? Walikuwa na mpango gani mpaka Kafulila amtangazie kwa umma kwamba mzee Utouh anastaafu??
Nakwanini tunapoteza imani kwa mtu ambae anakuja kuchukua nafasi ya CAG hata kabla hatujaona utendaji wake??
Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya hesabu za serikali kashasema alipozungumza na Gazeti la Rai Tar 2-8,2014 kuwa ripoti itaingia mikononi mwake wiki hiyo ya tarehe tajwa ;Attachment 191045

Hizi ni dalili mbaya kuwa Kafulila anataka kuyakataa matokeo ya uchunguzi kama yatakuwa hayajarinda interest zake!
Hata jana tumemkoti alivyoeleza wasiwasi wake kuwa ripoti inaweza isijadiriwe bungeni, mbona yeye tu anaye tapatapa??

""""Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila, amedai kuwapo kwa mkakati wa kuzuia ripoti ya uchunguzi wa fedha za Escrow zaidi ya Sh. bilioni 400, isijadiliwe katika mkutano ujao wa Bunge mjini Dodoma.

Kafulila ambaye pia ni Katibu Mwenezi wa NCCR-Mageuzi, alitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam kuhusu mkakati wa kuulinda ufisadi wa kiasi hicho kikubwa cha fedha ambao alidai unafanywa na kampuni za ufuaji umeme na baadhi ya vigogo wa serikali.

Kwa mujibu wa Kafulila, kumekuwapo na kampeni ya kupotosha ukweli kuhusu madai ya ufisadi huo wa fedha ambao anadai unaratibiwa na baadhi ya watu waliojitoa kufahamu kutetea wizi.

“Napenda kusisitiza kwamba, fedha za Escrow Dola milioni 270 (zaidi ya Shilingi bilioni 400), zimetolewa kifisadi na ndiyo sababu kwa muda sasa kumekuwapo mkakati wa kuzuia ripotri za uchunguzi zisijadiliwe bunge lijalo,” alisema Kafulila na kuongeza:

“Wito wangu kwa serikali ni kuwa endapo ripoti hii haitaletwa,Bunge lijalo halitakalika. Nitapeleka hoja ya kutokuwa na imani na serikali.”

Alisema kutokana na hali hiyo, hadi sasa nchi wahisani hazijachangia bajeti kwani zinasubiri utekelezaji wa ripoti ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) pamoja na Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Kwa mujibu wa Kafulila, anao ushahidi wa nyaraka takribani 600 zinazothibirisha fedha hizo kutolewa kifisadi huku akihoji sababu za Takukuru na CAG kutotoa taarifa za uchunguzi kuhusu madai hayo.

Alisema, ripoti hiyo isipojadiliwa kwenye Bunge hilo, ataomba mahakama itoe amri kwamba mbunge asiwe mjumbe wa bodi ya mashirika ya umma na kutoa hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu na Rais.

Akizungumza kwa njia ya simu na NIPASHE, Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dk. Edward Hoseah, alisema, hakuna mtu anayeweza kukwamisha kazi yao na kuwa muda wowote ripoti ikiwa tayari wanaiwasilisha.

CHANZO: NIPASHE""""

KAFULILA HUISHIWI MANENO WEWE???? MARA RIPOTI INACHEREWA, MARA INACHAKACHULIWA , MARA HAIJADIRIWI, TUKUELEE NINI MBONA KILA SIKU MALALAMIKO WEWE???????

kAFULILA ATUAMBIE NI SHIRINGI NGAPI SASA MAANA ANATUCHANGANYA SISI MARA BIL 200, MARA BIL 400 KIPI NI KIPI???WABUNGE WENZAKO HATA KAMBI YA UPINZANI IMESHAPIMA NA KUGUNDUA KUWA UNAPIGANIA TUMBO LAKO NASIYO MASLAHI YA TAIFA HILI NDIO MAANA WAMEKUACHA UPAMBANE MWENYEWE.

Attached Thumbnails

Kafulila ni mchumia tumbo tu then anataka kuwaaminisha
watanzania uongo wake kwasababu ya fedha tu alizopewa na
mafisadi wa nchi hii,kiukweli inaniwia vigumu sana kuona
kiongozi kijana kama kafulila anakubali kurubuniwa kirahisi
na kupokea fedha ili akaseme vitu vya uongo bungeni na
kuwadanganya watanzania,na wasiwasi sana na huyu mtu
anaweza ata kuuza nchi kwa tamaa ya fedha.
 
Hakuna binadamu mkamilifu,hata kidogo,Kafulila nae ni mpambanaji anatafuta maisha
 
Kafulila ni mchumia tumbo tu then anataka kuwaaminisha
watanzania uongo wake kwasababu ya fedha tu alizopewa na
mafisadi wa nchi hii,kiukweli inaniwia vigumu sana kuona
kiongozi kijana kama kafulila anakubali kurubuniwa kirahisi
na kupokea fedha ili akaseme vitu vya uongo bungeni na
kuwadanganya watanzania,na wasiwasi sana na huyu mtu
anaweza ata kuuza nchi kwa tamaa ya fedha.

Uzuri watanzania tumemwelewa hana tena madhara huyu tumbili.
 
Back
Top Bottom