Maswali kuhusu Cheti cha Ndoa

Maswali kuhusu Cheti cha Ndoa

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
11,975
Reaction score
28,242
Je, kikipotea au kuungua mtu anaweza kupewa kipya na mamlaka husika kanisa/ ofisi ya mkuu wa wilaya?

Cheti kipi kina nguvu kisheria kati ya vya dini/mila au bomani

Wale wanao oa wake wengi vyeti vyote vinahadhi sawa kisheria

USSR
 
Kikipotea kaombe nakala pale ulipofungia, then nenda ofisi za vizazi na vifo utapewa nakala halisi,

Waliniibia cheti changu, hawakujua kuwa na mimi ni mtu wa aina ipi.

Nilitengeneza kingine, nilitumia mwanasheria so sihuhangaika
 
Heee 😳 watu wanaiba cheti cha ndoa duh
 
Je, kikipotea au kuungua mtu anaweza kupewa kipya na mamlaka husika kanisa/ ofisi ya mkuu wa wilaya?

Cheti kipi kina nguvu kisheria kati ya vya dini/mila au bomani

Wale wanao oa wake wengi vyeti vyote vinahadhi sawa kisheria

USSR
Vyote vina nguvu sawa kwakuwa vyote vinatolewa na Serikali.
 
Kikipotea kaombe nakala pale ulipofungia, then nenda ofisi za vizazi na vifo utapewa nakala halisi,

Waliniibia cheti changu, hawakujua kuwa na mimi ni mtu wa aina ipi.

Nilitengeneza kingine, nilitumia mwanasheria so sihuhangaika
Kweli unaipambania ndoa

Ova
 
Je, kikipotea au kuungua mtu anaweza kupewa kipya na mamlaka husika kanisa/ ofisi ya mkuu wa wilaya?

Cheti kipi kina nguvu kisheria kati ya vya dini/mila au bomani

Wale wanao oa wake wengi vyeti vyote vinahadhi sawa kisheria

USSR
Na mimi naomba kuongeza swali.... Kama nikitaka kurekebisha majina kwenye cheti utaratibu ni upi?
 
Back
Top Bottom