Zitto kawashika pabaya Chadema, Habari za Chadema watanzania hawazitaki tena, Macho na masikio ya watanzania ni kwa Zitto na ACT
Wew ni wa kwanza wale waliotajwa kuwa mavuvuzela yatakuja. Tunasubiri wengine
Zitto kawashika pabaya Chadema, Habari za Chadema watanzania hawazitaki tena, Macho na masikio ya watanzania ni kwa Zitto na ACT
mikutano mingi ya ACT inaisha ndani ya mda wa mikutano unavyo pangwa sasa cdm huwa hamtaki kutii takwa la kisheria.
zito nimtoto wa mjini anajua siasa za tanzania hataki wanyonge tuvunjwe miguu bila sababu yoyote.
mikutano yake hawezi kuwaponda mbowe na lipumba yeye anataka hata nyinyi cdm mfanye siasa safi sio kutukana tu majukwaani
ccm anaiponda sana nandiomaana anasema nchi hii wanaonufaika ni wachache kwasababu ya mfumo mbovu wa serikali ya ccm.au ulitaka aseme ccm washenzi ndio utafurahi?
Akili ndogo bwana....si mnapima mafanikio yake kwa mahudhurio ya mikutano yake? Namaanisha sio wote wanaohudhuria wana mapenzi na ACT mburula wewe
Huu ndio huwa mwanzo wa kudhorotisha upinzani...badala ya kutumia nguvu kubwa kumpiga mtawala aliyetutumbukiza kwenye dhiki na maisha magumu tunaitumia nguvu hiyo kumshambulia mpinzani mwingine.
Hizi siasa za chuki hazina mwisho mwema na ni vizuri kukubali kwa mazuri aliyoyafanya na kuangalia kwa jicho la tatu mabaya because in human being no perfection.
Zitto ni mwanasiasa anayejiamini kwakile anachokitekeleza na naamini atakuwa mwiba kwa watendaji wabovu na wenye chuki za kisiasa.
Alaaaa!!Zitto kawashika pabaya Chadema, Habari za Chadema watanzania hawazitaki tena, Macho na masikio ya watanzania ni kwa Zitto na ACT
Naam! Kwa kuwa zitto anapambana na ccm ili kuiondoa madarakani, nashauri ukawa kuutumia huo mwanya kuunganisha nguvu hiyo na kuiangusha ccm October 2015.
Ukawa mtumieni zitto wa ACT Muunganishe nguvu moja kuelekea kwenye ukombozi.
Sina siasa za mlengo wowote zaidi ya mimi kuwa mwanamabadiliko. Navutiwa na siasa za upinzani ili kuiondoa CCM, tufanye nashawishika na chama kipya ACT WAZALENDO na hususan kiongozi wake ZITTO ZUBERI KABWE.
Ila naomba anijibu au viongozi wenzie wanijibu maswali haya 21 kuhusu Zitto
1.Kwanini kila sehemu ukianzisha mjadala lazima wengine wamuite yeye msaliti?
2.Kwanini anatetewa na kupendwa na wana CCM mitandaoni na mitaani kuliko wanamabadiliko?
3.Kwanini vyombo vya habari na mitandao isiyo penda vyama vya upinzani kama Clouds Fm,Jambo
leo,uhuru,mzalendo,na jamii forum vinampa upendeleo sana.?
4.Kwanini wakati alipokuwa chadema alikuwa apigi ziara kama sasa ACT, kutafuta wanachama hadi kwenye malori na barabarani....?
5.Nijuavyo mimi ACT hawapati ruzuku yoyote kama vyama vingine vya siasa ambavyo vinauwakilishi je Zitto amepata wapi pesa ya kujaza magari 15 mafuta kila siku.kulipa posho watu 31 kwenye msafara wake,kulipa waandishi wahabari 9 kwenye msafara wake,kulipia P.A.system na music kwenye mikutano yake.kulipia vyumba(guest haouse wa msafara wote huo leo siku ya 8,wakati kwenye akaunti alikuwa ana millioni 18 tuh?
5.Millioni 150 za mkutano mkuu pale diamond jubilee na mabasi matano kutoka kigoma na mwanza,na zile costa 15.kwa muda wasiku 4.kusambazia wajumbe wake Dar es salaam alizitoa wapi na hawana ruzuku? Ikiwa tangu ahamie alikuwa ana siku 4
6.Kwanini huko anakopita kwenye mikutano yake hawaisemi vibaya serikali ya ccm?
7.Kwanini huko kwenye mikutano wanayofanya waongeaji ni wengi ila anasikika yeye tuh?
8.Kwanini mauzo ya kadi za ACT WAZALENDO, yanamwitikio hafifu na yeye anajua hilo.badala chama kikae sehemu moja hata siku tatu kusimika uongozi badala yake anapita kama mbio za mwenge tuh?
9.Kwanini mikutano yake yote anaruhusu viongozi wake na wapambe kama afande sele kuitukana chadema.ila yeye haitukani chadema?
10.Kwanini pia hao wabunge 50 anaosema wanakuja ACT.kwamba wanaohofia kukosa mafao yao.asiwafundishe njia haliyo tumia yeye kujiuzulu na bado mafao anapata.ili nao wajiuzulu muda huu ila mafao wapewe kama yeye Zitto.
11.Kwanini wale wabunge ambao siku nyingi wanatuhumiwa kwa usaliti na kuvujisha siri za chama chao kama LETICIA NYERERE,(rejea gazeti Tazama Tanzania). ndiyo wanaotajwa kuja ACT Na siyo wabunge kama JOHN MNYIKA AU VICENT NYERERE
12.Wakina mchange na mtemelwa walio kuwa wanadai kwenye television mbalimbali kuwa wao bado ni chadema hata kama chadema imewafukuza kwa nini sasa hivi wamepewa ujumbe kamati kuu na hatujawaona kupewa kadi hadharani?
13.Kwanini unajiita mjamaa wakati kwenye mali zako ulizohorodhesha unamiliki kitalu cha gesi?
14.Unaurafiki gani na Ramadhani Dau?
15.Ulipo kuwa mwenyekiti Pac na Ramadhani Dau angali yupo NSSF.mahusiano yenu hayakuhathiri utendaji wako.hata kupata nyumba za NSSF na tenda za kutangaza NSSF?
16.Kwanini uliposhindana na cheyo uenyekiti wa PAC wabunge wa CCM walipewa agizo na mwenyekiti (KIKWETE) Kupitia waziri mkuu pinda wakupigie wewe badala ya cheyo?
17.Kwanini kikwete alipoenda SUDANI KUSINI kwenye sherehe za uhuru aliambatana na wewe na familia yake.akiacha viongozi wenzie wa CCM.?
18.Watanzania amu kuwa aliyepambana na escrow mpaka akitwa tumbili na kutishiwa kuuwa ni KAFULILA na si wewe,lakini wewe unawaaminisha watu kuwa escrow ndiyo uliyeibua na kuipigania?
19.Unazungumziaje mahusiano yako na viongozi wa CCM na serikali kama mwigulu nchemba,LUDOVICK UTTOH?
20.vipikuhusu sakata lako la kutaka kuacha siasa ili urudi chuo au ende kuajiriwa TPDC umeshaghairi?
21.Kwanini Tangu uanze harakati zako za siasa za upinzani ujawahi kunyimwa kibali cha mkutano wala
kufanyiwa vurugugu na ccm au kupata mshimshike wa kukamatwa na kuwekwa ndani kama wapinzani wengine akina lipumba,mbowe,slaa, lisu,lema,au mnyika.?
Tafadhali naomba nijibiwe maswali, nampenda sana Zitto ila kila ninapomuongelea nakutana nayo nashindwa kujibu.
Hayo maswali , nampenda sana Zitto ila kila ninapo muongelea nakutana nayo nashindwa kujibu.
ZZK alisema hiyo pesa ya kiinua mgongo haitaki, pia katika hao MP 50 watakao kuja kujiunga ACT kutoka CDM na CCM ndio wanaomfadhili ACT, kama in kweli je haoni hao hoa wabunge hizo pesa ni sehemu ya zile alizozikataa?, sasa wewe umekata a posho wenzako wanapokea na ndio michango hapo ACT, does it make sense?
Siyo ajabu mwana ccm kumtetea Act maana nimtu anamtetea mchepuko wake
Yawezekana Mbowe kakosea, na ZZK naye akosee? Nadhani yeye ana nafasi ya kurekebisha.Mbona Mbowe kabadili katiba ili awe mwenyekiti wa milele mpo kimya
Wewe nuruyamnyonge wa wapi wewe? hujasoma post ya malemo? Haya rudi ukasome.