Maswali 21 kwa Zitto Kabwe

Maswali 21 kwa Zitto Kabwe

Sina siasa za mlengo wowote zaidi ya mimi kuwa mwanamabadiliko. Navutiwa na siasa za upinzani ili kuiondoa CCM, tufanye nashawishika na chama kipya ACT WAZALENDO na hususan kiongozi wake ZITTO ZUBERI KABWE.

Ila naomba anijibu au viongozi wenzie wanijibu maswali haya 21 kuhusu Zitto

1.Kwanini kila sehemu ukianzisha mjadala lazima wengine wamuite yeye msaliti?

2.Kwanini anatetewa na kupendwa na wana CCM mitandaoni na mitaani kuliko wanamabadiliko?

3.Kwanini vyombo vya habari na mitandao isiyo penda vyama vya upinzani kama Clouds Fm,Jambo
leo,uhuru,mzalendo,na jamii forum vinampa upendeleo sana.?

4.Kwanini wakati alipokuwa chadema alikuwa apigi ziara kama sasa ACT, kutafuta wanachama hadi kwenye malori na barabarani....?

5.Nijuavyo mimi ACT hawapati ruzuku yoyote kama vyama vingine vya siasa ambavyo vinauwakilishi je Zitto amepata wapi pesa ya kujaza magari 15 mafuta kila siku.kulipa posho watu 31 kwenye msafara wake,kulipa waandishi wahabari 9 kwenye msafara wake,kulipia P.A.system na music kwenye mikutano yake.kulipia vyumba(guest haouse wa msafara wote huo leo siku ya 8,wakati kwenye akaunti alikuwa ana millioni 18 tuh?
5.Millioni 150 za mkutano mkuu pale diamond jubilee na mabasi matano kutoka kigoma na mwanza,na zile costa 15.kwa muda wasiku 4.kusambazia wajumbe wake Dar es salaam alizitoa wapi na hawana ruzuku? Ikiwa tangu ahamie alikuwa ana siku 4

6.Kwanini huko anakopita kwenye mikutano yake hawaisemi vibaya serikali ya ccm?

7.Kwanini huko kwenye mikutano wanayofanya waongeaji ni wengi ila anasikika yeye tuh?

8.Kwanini mauzo ya kadi za ACT WAZALENDO, yanamwitikio hafifu na yeye anajua hilo.badala chama kikae sehemu moja hata siku tatu kusimika uongozi badala yake anapita kama mbio za mwenge tuh?

9.Kwanini mikutano yake yote anaruhusu viongozi wake na wapambe kama afande sele kuitukana chadema.ila yeye haitukani chadema?

10.Kwanini pia hao wabunge 50 anaosema wanakuja ACT.kwamba wanaohofia kukosa mafao yao.asiwafundishe njia haliyo tumia yeye kujiuzulu na bado mafao anapata.ili nao wajiuzulu muda huu ila mafao wapewe kama yeye Zitto.

11.Kwanini wale wabunge ambao siku nyingi wanatuhumiwa kwa usaliti na kuvujisha siri za chama chao kama LETICIA NYERERE,(rejea gazeti Tazama Tanzania). ndiyo wanaotajwa kuja ACT Na siyo wabunge kama JOHN MNYIKA AU VICENT NYERERE

12.Wakina mchange na mtemelwa walio kuwa wanadai kwenye television mbalimbali kuwa wao bado ni chadema hata kama chadema imewafukuza kwa nini sasa hivi wamepewa ujumbe kamati kuu na hatujawaona kupewa kadi hadharani?

13.Kwanini unajiita mjamaa wakati kwenye mali zako ulizohorodhesha unamiliki kitalu cha gesi?

14.Unaurafiki gani na Ramadhani Dau?

15.Ulipo kuwa mwenyekiti Pac na Ramadhani Dau angali yupo NSSF.mahusiano yenu hayakuhathiri utendaji wako.hata kupata nyumba za NSSF na tenda za kutangaza NSSF?

16.Kwanini uliposhindana na cheyo uenyekiti wa PAC wabunge wa CCM walipewa agizo na mwenyekiti (KIKWETE) Kupitia waziri mkuu pinda wakupigie wewe badala ya cheyo?

17.Kwanini kikwete alipoenda SUDANI KUSINI kwenye sherehe za uhuru aliambatana na wewe na familia yake.akiacha viongozi wenzie wa CCM.?

18.Watanzania amu kuwa aliyepambana na escrow mpaka akitwa tumbili na kutishiwa kuuwa ni KAFULILA na si wewe,lakini wewe unawaaminisha watu kuwa escrow ndiyo uliyeibua na kuipigania?

19.Unazungumziaje mahusiano yako na viongozi wa CCM na serikali kama mwigulu nchemba,LUDOVICK UTTOH?

20.vipikuhusu sakata lako la kutaka kuacha siasa ili urudi chuo au ende kuajiriwa TPDC umeshaghairi?

21.Kwanini Tangu uanze harakati zako za siasa za upinzani ujawahi kunyimwa kibali cha mkutano wala
kufanyiwa vurugugu na ccm au kupata mshimshike wa kukamatwa na kuwekwa ndani kama wapinzani wengine akina lipumba,mbowe,slaa, lisu,lema,au mnyika.?

Tafadhali naomba nijibiwe maswali, nampenda sana Zitto ila kila ninapomuongelea nakutana nayo nashindwa kujibu.
Hayo maswali , nampenda sana Zitto ila kila ninapo muongelea nakutana nayo nashindwa kujibu.

  • MAJIBU
    1.kwa sababu nabii hakubaliki nyumbani ambako ni chadema.
    2.kwa sababu watu wengi wamekuwa wakiipenda CCM muda mrefu kutokana na kutokuwepo vyama vya upinzani vyenye nia ya dhati ya kuing'oa CCM mdarakani bali yamekuwa magenge ya wezi wanaotawala milele kama waflme. sasa mwanga wanauona ACT-wazalendo tegemea watu makini kuikimbia CCM karibuni na kujiunga ACT-wazalendo.
    3.kwa sababu vyombo vingine visivyompa upendeleo mzalendo ZITTO vinamilikiwa kama sio wachaga basi viongozi wa vyama vya upinzani alikotoka.
    4. kwa sababu alikuwa hapangiwi ratiba za kufanya hivyo na chadema ila leo hii ACT-wazalendo wanampangia ratiba. huko ratiba
    5.wafadhili
    6.hatuongelei CCM tunajenga hoja za kuikomboa nchi, hatupambani na CCM wala UKAWA, acha ushamba, ACT-wazalendo haipo kusema vibaya vyama kama mlivyozoea kutukanana, ipo kujenga hoja zenye mashiko juu ya maisha ya watanzania.
    7.kama enzi za nyerere vile kiongozi lazima aaminiwe na wenzake na jamii, leo hii macho ya watz yapo kwa ZITTO kuona anatuvushaje.
    8.huu ni utambulisho na hatuna bajeti ya kutosha, lazima tupite nchi nzima then maswala unayotaka wanachama watamalizana na viongozi wa chama ngazi ya mkoa, hilo lisikupe hofu.
    9. lakuambiwa changanya na zako, hatujawahi tukana Chadema bali kuikosoa, kama hampendi ukweli kwenu ni matusi tunawapa pole na kwa hilo mtatusamehe.
    10. Kumbuka roho ya KABWE ni ya kizalendo kupita kiasi na kama unaishi porini habari ya mjini ZITTO katangaza kutochukua mafao, yakawasidie wanyonge. tayari alishaiandikia ofisi ya spika.
    11.kumbuka TANZANIA DAIMA ni gazeti la mwenyekiti wa kudumu Mbowe, usipende sana kulisoma na kuamini siku utaabika mbele ya mama yako, kisa umesoma gazeti hili la kikanjanja.
    12.wamegundua uozo uliopo chadema sasa wamejiunga na ukombozi wa mtanzania.
    13.kwa bahati nzuri hakuna mtanzania hadi sasa anamimliki kitalu cha gesi, najua unapenda sana kusoma gazeti la TANZANIA DAIMA ndo matokeo yake haya.
    14. ask serious questions.
    15.refer answer no: 15 hatujibu porojo hapa ni fact basi.
    16.walijua utendaji wa ZITTO ndo maana umeona matokeo makubwa yalioangusha majoka yenye makengeza na werema wao.
    17. ushasema Rais so sioni ajabu kuambatana na kiongozi yeyotea awe wa kisiasa , kidini au taasisi yeyote ile.
    18. nadhani kilichowaondoa wale wezi ni ripoti ya PAC mwenyekiti akiwa ZITTO, ndo maana watu wanampenda kwamba ukimpa uongozi atawasaidiwa wasaidizi wake mpaka hatua ya mwisho, taifa linahitaji watu kama hawa, kumbuka hata Mwl.Nyerere hakufanya peke yake ila anakumbukwa kuliko wote wapigania uhuru kutokana na nafasi yake ya uongozi.
    19. hana matatizo au uhusiano mbaya na wanachama wa chama chochote, ila tofauti unazoziona ni mitizamo juu ya mstakabali wa nchi hii, mkiendana mko pamoja ukikengeuka miiko ya nchi anakushughulikia, haijalishi upo CCM au UKAWA.
    20.bado kijana hivyo kuwa na subira.
    21.hatuna uadui na chama chochote, serikali wala taasis, so jifunzeni kwetu au karibu ujiunge na wazalendo.

Pole, kwanza hawezi kuja hapa kukujibu hayo maswali yako. Subiri mavuvuzela yake yaje hapa kupiga kelele yakishirikiana na Yale ya lumumba.
NYIE WOTE NI WAFU ENDELEENI KUZIKANA. Angalia machangio yetu ya kabla ya mtafaruku na baada ndani ya cdm ndio utajua upepo ulibadilika lini. Zito ni Nyota ya vijana, ing'aayo sana, upepo wa humu jamvini cdm hawauwezi kwani ni vijana weye utashi against ndio mzee wa mbowe!
 
  • MAJIBU
    1.kwa sababu nabii hakubaliki nyumbani ambako ni chadema.
    2.kwa sababu watu wengi wamekuwa wakiipenda CCM muda mrefu kutokana na kutokuwepo vyama vya upinzani vyenye nia ya dhati ya kuing'oa CCM mdarakani bali yamekuwa magenge ya wezi wanaotawala milele kama waflme. sasa mwanga wanauona ACT-wazalendo tegemea watu makini kuikimbia CCM karibuni na kujiunga ACT-wazalendo.
    3.kwa sababu vyombo vingine visivyompa upendeleo mzalendo ZITTO vinamilikiwa kama sio wachaga basi viongozi wa vyama vya upinzani alikotoka.
    4. kwa sababu alikuwa hapangiwi ratiba za kufanya hivyo na chadema ila leo hii ACT-wazalendo wanampangia ratiba. huko ratiba
    5.wafadhili
    6.hatuongelei CCM tunajenga hoja za kuikomboa nchi, hatupambani na CCM wala UKAWA, acha ushamba, ACT-wazalendo haipo kusema vibaya vyama kama mlivyozoea kutukanana, ipo kujenga hoja zenye mashiko juu ya maisha ya watanzania.
    7.kama enzi za nyerere vile kiongozi lazima aaminiwe na wenzake na jamii, leo hii macho ya watz yapo kwa ZITTO kuona anatuvushaje.
    8.huu ni utambulisho na hatuna bajeti ya kutosha, lazima tupite nchi nzima then maswala unayotaka wanachama watamalizana na viongozi wa chama ngazi ya mkoa, hilo lisikupe hofu.
    9. lakuambiwa changanya na zako, hatujawahi tukana Chadema bali kuikosoa, kama hampendi ukweli kwenu ni matusi tunawapa pole na kwa hilo mtatusamehe.
    10. Kumbuka roho ya KABWE ni ya kizalendo kupita kiasi na kama unaishi porini habari ya mjini ZITTO katangaza kutochukua mafao, yakawasidie wanyonge. tayari alishaiandikia ofisi ya spika.
    11.kumbuka TANZANIA DAIMA ni gazeti la mwenyekiti wa kudumu Mbowe, usipende sana kulisoma na kuamini siku utaabika mbele ya mama yako, kisa umesoma gazeti hili la kikanjanja.
    12.wamegundua uozo uliopo chadema sasa wamejiunga na ukombozi wa mtanzania.
    13.kwa bahati nzuri hakuna mtanzania hadi sasa anamimliki kitalu cha gesi, najua unapenda sana kusoma gazeti la TANZANIA DAIMA ndo matokeo yake haya.
    14. ask serious questions.
    15.refer answer no: 15 hatujibu porojo hapa ni fact basi.
    16.walijua utendaji wa ZITTO ndo maana umeona matokeo makubwa yalioangusha majoka yenye makengeza na werema wao.
    17. ushasema Rais so sioni ajabu kuambatana na kiongozi yeyotea awe wa kisiasa , kidini au taasisi yeyote ile.
    18. nadhani kilichowaondoa wale wezi ni ripoti ya PAC mwenyekiti akiwa ZITTO, ndo maana watu wanampenda kwamba ukimpa uongozi atawasaidiwa wasaidizi wake mpaka hatua ya mwisho, taifa linahitaji watu kama hawa, kumbuka hata Mwl.Nyerere hakufanya peke yake ila anakumbukwa kuliko wote wapigania uhuru kutokana na nafasi yake ya uongozi.
    19. hana matatizo au uhusiano mbaya na wanachama wa chama chochote, ila tofauti unazoziona ni mitizamo juu ya mstakabali wa nchi hii, mkiendana mko pamoja ukikengeuka miiko ya nchi anakushughulikia, haijalishi upo CCM au UKAWA.
    20.bado kijana hivyo kuwa na subira.
    21.hatuna uadui na chama chochote, serikali wala taasis, so jifunzeni kwetu au karibu ujiunge na wazalendo.

Ningekugongea like kama mia hivi zingekuwa zinaruhusiwa
 
Zitto kawashika pabaya Chadema, Habari za Chadema watanzania hawazitaki tena, Macho na masikio ya watanzania ni kwa Zitto na ACT

Kwa nini ccm ndio watetezi wake kama weee vuvuzela laki si pesa
 
Maswali ya kitoto sana.Ingawa yameshajibiwa mara nyingi tu hapa hapa JF. Leteni mijadala mingine sasa tuneshachoka na thread zenu za kumlilia Zitto.
Siyo ajabu mwana ccm kumtetea Act maana nimtu anamtetea mchepuko wake
 
SWali No. ni 5 muhimu.. kupata majibu yanayojitosheleza. Ni wafadhiri gani wanaomfadhiri mjamaa na kwa malengo yapi? WAZIWAZI
 
wafadhili hao ni wale walioisoma katiba ya ACT-wazalendo na kuielewa, tafuta uisome by default utajua malengo yao.
 
Zitto kawashika pabaya Chadema, Habari za Chadema watanzania hawazitaki tena, Macho na masikio ya watanzania ni kwa Zitto na ACT

Hawa ndio watetezi wa zito ambao ni ccm, cha kushangaza ni low Aq. Ccm nayoifahamu haiwezi kuwa na watetexi kama hawa.
Lumumba hawajafikia hatuwa hii ya kuwakilishwa na vilaza.
 
  • MAJIBU
    1.kwa sababu nabii hakubaliki nyumbani ambako ni chadema.
    2.kwa sababu watu wengi wamekuwa wakiipenda CCM muda mrefu kutokana na kutokuwepo vyama vya upinzani vyenye nia ya dhati ya kuing'oa CCM mdarakani bali yamekuwa magenge ya wezi wanaotawala milele kama waflme. sasa mwanga wanauona ACT-wazalendo tegemea watu makini kuikimbia CCM karibuni na kujiunga ACT-wazalendo.
    3.kwa sababu vyombo vingine visivyompa upendeleo mzalendo ZITTO vinamilikiwa kama sio wachaga basi viongozi wa vyama vya upinzani alikotoka.
    4. kwa sababu alikuwa hapangiwi ratiba za kufanya hivyo na chadema ila leo hii ACT-wazalendo wanampangia ratiba. huko ratiba
    5.wafadhili
    6.hatuongelei CCM tunajenga hoja za kuikomboa nchi, hatupambani na CCM wala UKAWA, acha ushamba, ACT-wazalendo haipo kusema vibaya vyama kama mlivyozoea kutukanana, ipo kujenga hoja zenye mashiko juu ya maisha ya watanzania.
    7.kama enzi za nyerere vile kiongozi lazima aaminiwe na wenzake na jamii, leo hii macho ya watz yapo kwa ZITTO kuona anatuvushaje.
    8.huu ni utambulisho na hatuna bajeti ya kutosha, lazima tupite nchi nzima then maswala unayotaka wanachama watamalizana na viongozi wa chama ngazi ya mkoa, hilo lisikupe hofu.
    9. lakuambiwa changanya na zako, hatujawahi tukana Chadema bali kuikosoa, kama hampendi ukweli kwenu ni matusi tunawapa pole na kwa hilo mtatusamehe.
    10. Kumbuka roho ya KABWE ni ya kizalendo kupita kiasi na kama unaishi porini habari ya mjini ZITTO katangaza kutochukua mafao, yakawasidie wanyonge. tayari alishaiandikia ofisi ya spika.
    11.kumbuka TANZANIA DAIMA ni gazeti la mwenyekiti wa kudumu Mbowe, usipende sana kulisoma na kuamini siku utaabika mbele ya mama yako, kisa umesoma gazeti hili la kikanjanja.
    12.wamegundua uozo uliopo chadema sasa wamejiunga na ukombozi wa mtanzania.
    13.kwa bahati nzuri hakuna mtanzania hadi sasa anamimliki kitalu cha gesi, najua unapenda sana kusoma gazeti la TANZANIA DAIMA ndo matokeo yake haya.
    14. ask serious questions.
    15.refer answer no: 15 hatujibu porojo hapa ni fact basi.
    16.walijua utendaji wa ZITTO ndo maana umeona matokeo makubwa yalioangusha majoka yenye makengeza na werema wao.
    17. ushasema Rais so sioni ajabu kuambatana na kiongozi yeyotea awe wa kisiasa , kidini au taasisi yeyote ile.
    18. nadhani kilichowaondoa wale wezi ni ripoti ya PAC mwenyekiti akiwa ZITTO, ndo maana watu wanampenda kwamba ukimpa uongozi atawasaidiwa wasaidizi wake mpaka hatua ya mwisho, taifa linahitaji watu kama hawa, kumbuka hata Mwl.Nyerere hakufanya peke yake ila anakumbukwa kuliko wote wapigania uhuru kutokana na nafasi yake ya uongozi.
    19. hana matatizo au uhusiano mbaya na wanachama wa chama chochote, ila tofauti unazoziona ni mitizamo juu ya mstakabali wa nchi hii, mkiendana mko pamoja ukikengeuka miiko ya nchi anakushughulikia, haijalishi upo CCM au UKAWA.
    20.bado kijana hivyo kuwa na subira.
    21.hatuna uadui na chama chochote, serikali wala taasis, so jifunzeni kwetu au karibu ujiunge na wazalendo.

Well said
 
chadema kwisha R.I.P chadema manake watu hawafanyi kazi za kukujenga mnamuandama sisimizi kama zzk tulikupnda chadema lakini mbowe na slaa wamekupenda zaidi wekeni wasaliti act ili kife na chenyewe.
 
Pole mkuu,sikujua kama utakwazika!!!!! Ila na wewe unafuataga nini huku kwenye post Ngumu kama hizi
 
Zitto kawashika pabaya Chadema, Habari za Chadema watanzania hawazitaki tena, Macho na masikio ya watanzania ni kwa Zitto na ACT

Zitto hawezi kuwashika pabaya Chadema, bali chadema ndo walimshika pabaya! Siku zote ukimtizama kwa nje huonekana amevaa ngozi ya kondoo; kumbe ni mbwa mwitu mnyama mla watu.

Hoja za bandiko zimeshiba, aje ajibu kama anaubavu. Tumesha mjua ni msaliti ngoja amalize mihemuko yake majukwaani wanaume wakipita anaumbuka mchana kweupe.

Walio mtuma walijinadi kwamba Chadema itakufa tangu 2012! lakini alivyokamatwa na zile nyaraka za siri, ndipo wananchi tulimjua zitto ni wa ccm. Leo hatuna hofu adui wa mabadiliko ni zitto kabwe huo ndo ukweli namtakia usaliti mwema.
 
Zitto kawashika pabaya Chadema, Habari za Chadema watanzania hawazitaki tena, Macho na masikio ya watanzania ni kwa Zitto na ACT

Pole, kwanza hawezi kuja hapa kukujibu hayo maswali yako. Subiri mavuvuzela yake yaje hapa kupiga kelele yakishirikiana na Yale ya lumumba
. ... Mwenye hii post alitabiri vizuri
 
Chadema hawana akili wote yani walimfukuza Zitto kwa mbwembwe halafu wanataka kumpangia utaratibu wake wa maisha

Mimi nachambua tu, swala hapa si kumpangia zitto utaratibu wa maisha bali tunajikita kwenye hoja ya msingi juu ya kile kilichomo ndani ya zitto, kwa nje anaonekana kondoo lakini ndani yake ni chui mla watu. Ccm mnajidanganya kuzuia mafuriko ya mabadiliko kwa mikono lakini mwaka huu zitto ataumbuka.
 
Back
Top Bottom