hili swali lako limenigusa mno.. ukifikiria kwa umakini utajua kwanini wazungu walileta dini ya kikristo.. dini ya kikristo inafundisha kuwa na huruma, kuwa wanyenyekevu, kuwa watu wa kutokuhoji vitu.. wakati wa ukoloni mababu zetu walikua watata sana yaani hawatii mamlaka ya mkoloni, ndo maana wakoloni wakaintroduce huu ukristo kwa waafrika ili wawe na roho ya huruma, wawe wanyenyekevu, yaani kwa kizungu unaweza kusema walitujenga tuwe SUBMISSIVE.[QUOTE uid=292576 name="CHAMITON" post=17105195]
11.Mungu mbona kwenye maandiko yako umechochea sana utumwa(slavery)? kwani tukiishi kwa usawa haikupendezi
Mkuu nikupongeze kwa kujibu vyema swali la saba...je tunaruhusiwa kuitumia kwa kuivuta?Majibu ya maswali 1,4 na 7 ni kama ifuatavyo
1:Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hamna kiumbe chochote duniani kinachofanana nae
4:Mungu atawapatia kama zawadi wale wacha Mungu haswaa au wale ambao wamehifadhi juzuu 30 kichwan kuchagua watu 70 kuingia nao peponi
7:Faida za bangi ni kama ifuatavyo
a :Bangi ina kemikali inayoitwa tetrahydrocannabiol ambayo inaweza kuzuia kifafa
b:Bangi inapunguza presha ya jicho(intraocular pressure)
c:Bangi inakemikali inayoitwa Cannabidiol ambayo inapunguza kuenea kwa kansa mwilini
d:Huweza kutibu magonjwa ya utumbo(inflammatory bowel diseases)
e:Hupunguza na kutibu matatizo ya kutetemeka kwa misuli kitaalamu inaitwa parkinsonism
f:Huongeza uwezo wa kubuni vitu,uwezo wa kukumbuka na uwezo wa kuzungumza
g:Huongeza matumizi ya sukari mwilini
Nimefocus zaidi kwenye SLAVERY. Biblia iliandikwa na watu wenye ufahamu wa hali ya juu.. na ilikua imeandikwa ili kutekeleza mikakati ya muda mrefu sana.. haya maisha yote tunayoishi watu walishapanga miaka na miaka kwamba itakuwa hivi.. na ndo maana kila kinachotokea sasa kimeandikwa kwenye biblia, watu wanasema ni mwisho wa dunia umefika, hapana, ni mipango ile ilishapangwa.. ndo maana hata maneno yanayohusu utumwa yameandikwa kwenye biblia.. walijua wanachokuja kukifanya baadae.Kubaguliwa kwa mwaafrika ni issue mojawapo...ila tatizo wao kwa wao walijitwalia watumwa na kuwatumikisha ndo maana nikauliza kwanini???
Mkuu sasa hapo tutatokaje??? kuna suluhisho???Nimefocus zaidi kwenye SLAVERY. Biblia iliandikwa na watu wenye ufahamu wa hali ya juu.. na ilikua imeandikwa ili kutekeleza mikakati ya muda mrefu sana.. haya maisha yote tunayoishi watu walishapanga miaka na miaka kwamba itakuwa hivi.. na ndo maana kila kinachotokea sasa kimeandikwa kwenye biblia, watu wanasema ni mwisho wa dunia umefika, hapana, ni mipango ile ilishapangwa.. ndo maana hata maneno yanayohusu utumwa yameandikwa kwenye biblia.. walijua wanachokuja kukifanya baadae.. Ngumu kuelewa ila jitahidi tu hivyohivyo
kama Mzungu aliweza kukaa chini miaka na miaka kutengeneza kitu kama hiki na kukipa nguvu hadi za kuponya, pata picha mimi na wewe ambao hatuna hata rasilimali itachukua miaka mingapi kubadilisha mawazo ya watu na kuwashawishi wakubali ukweli.. ndo basi tena kaka tumkubali yesu wao tu maana hamna namna.. ni kama mgonjwa wa UKIMWI, hana namna.Mkuu sasa hapo tutatokaje??? kuna suluhisho???
Kwani unafikiri kwanini watu wanasema kuna mungu? na we we unawezaje kuthibisha usemacho kuwa hakuna mungu?
1:Mungu hana jinsia (si mwanaume wala si mwanamke) alaf si Mungu tu pekee ambaye hana jinsia hata malaika,na ibilisi pia nao hawana jinsiaMkuu nikupongeze kwa kujibu vyema swali la saba...je tunaruhusiwa kuitumia kwa kuivuta?
Kuhusiana na kuingia peponi kwahiyo kuna watu wataingia peponi kwa migongo ya watu wengine.
Swali la kwanza nimeuliza je Mungu ni KE au ME sijauliza kama alizaa au alizaliwa, rejea swali tafadhali.
na wewe unaamini hamna tena slavery? wewe unajua una deni la shilingi ngapi hapo unadaiwa kutokana na mikopo serikali yetu inayokopa? unajua kwamba kitendo cha sisi kushindwa kuwaadabisha wazungu na kudai fidia kutokana na ukoloni waliotufanyia tayari inaonyesha bado tupo kwenye SLAVERY?lakini kumbuka ni maandiko hayohayo yalitumika kusaidia ku "abolish" slave trade in Afrika kama kweli ulisoma history utakua umenielewa.
hizo shida zetu zimeletwa na nani kama sio wao? huu mfumo tunaoishi ni wa kwetu au wa kwao? tulikua tunatumia hela kama medium of exchange? wao si ndo wameintroduce mfumo wa hela ili watutawale... pia tungekua na mashine ya kutengenezea hela unadhani tungekua na deni? nani anaecontrol hio kitu? upo?Bob marley alikwisha sema
"hakuna wa kukutoa katika Mental slavery isipokuwa wewe mwenyewe"
Rejea wimbo wake (redemption song)
turudi kwenye mada deni la taifa sio slavery bali shida zetu ndo zinazosababisha tukope sababu rasiliamali tulizonazo zikipata good management tunaweza kuondokana na masahibu hayo.
MASWALI MENGINE YA KUJIULIZA..Jiulize ww no nani? Kabla ya kuja ulimwenguni ulikuwa wapi? Baada ya kuishi hapa duniani utaelekea wapi? Kufanya nn? Utakutana na nani?.........