Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,152
- 44,110
Usihangaike sana na Kanisa awamu hii, litaunga mkono pasipo kuhoji kila kitakachosemwa na Mkuu katika awamu hii.
Hii kauli ingekuwa ilitolewa na Rais Mwislamu basi ungeona matakamko kona zote za nchi.[/QUOTE]
Kama tumefika hapo ni hatari
Umeua, we close the deal!Mimi ninapomsikia Kiongozi wa dini anapokuja na hoja ya kusema kitu fulani sio 'utamaduni' wetu, huwa mara zote najiuliza maswali haya...
1/Toka lini Ukristo na uislamu vikawa ni utamaduni wa Mwafrika?
2/Toka lini Uvaaji wa nguo kufunika miili yetu na kutusitiri vyema miili yetu vikawa utamaduni wa mwafrika?
3/Toka lini kwenda hospitali kutibiwa kwa sindano, vidonge, chanzo, operesheni nk vikawa utamaduni wa mwafrika?
4/Kwanini utamaduni wa asili wa mwamfrika wa kutambika, kuroga, kuagua tunaupiga vita sasa? (Kwa sasa viongozi wa dini wanasema tuache hayo ili tutumie Dua, sala na maombi tu)
5/Kwanini utamaduni wa asili wa jamii nyingi za kiafrika wa kukeketa wanawake tunaupiga vita?
6/Toka lini kwenda shule na vyuo vikawa ni utamaduni wa mwamfrika?
7/Kwanini tamaduni za kiafrika za kurithi mke wa marehemu tunazipiga vita sasa?
8/Kwanini tamaduni za kiafrika za kuwaangamiza watoto wenye aina fulani hivi za kimaumbile(Kama ulemavu) tunazipiga vita?
9/Tangu lini ushenzi wa kujamiiana(Ubakaji, Ulawiti, Ushoga, Usagaji) leo hii umekuwa utamaduni wa kigeni wakati huo uchafu umekuwepo kwenye jamii na tamaduni za kiafrika toka enzi na enzi na hakuonekana kama ni tatizo?
10/Kwanini utamaduni wa Kuendekeza ujinga na uchafu uliokuwepo kwenye maisha ya kila siku ya mwafrika tunapambana kuupiga vita sasa? (Leo hii tunahimizwa tuwe na vyoo visafi na vya kisasa wakati utamaduni wa mwafrika ulikuwa ni kujisaidia vichakani tu ili kuongeza rutuba mashambani!!)
11/Hivi utamaduni wa kusafiria Pikipiki, Magari, Ndege nk. tumeutoa wapi wakati utamaduni wa mwafrika ni kutembea kwa miguu au kupanda Punda nk.
.Askofu kamaliza, kasema wazi hakuna Shule ya Kanisa Katoliki itakayoruhusu mimba. Huo ndiyo msimamo; wewe unamhoji Askofu ukiwa kama nani? Kama nia yako ni kuwagurahisha CHADEMA au mashoga, go ahead. Hapa ndiyo mahala pake.
Hawa maskofu si ndiyo wanapumuliana kisogoni? Au huyu ni tofauti?Askofu kamaliza, kasema wazi hakuna Shule ya Kanisa Katoliki itakayoruhusu mimba. Huo ndiyo msimamo; wewe unamhoji Askofu ukiwa kama nani? Kama nia yako ni kuwagurahisha CHADEMA au mashoga, go ahead. Hapa ndiyo mahala pake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafsiri ya kushindwa kusoma ni kupata ujauzito? Na unapopata ujauzito stahili yako/yake ni kuwa mjinga? Mawazo ya wapi haya?Hakuna sehemu ktk vyuo Vya ualimu nchini kwa ngazi ya astashahada au stashahada ambavyo mwalimu anafundishwa jinsi ya kumfundisha Mzazi mwenye mtoto.........yaani wanafunzi mjamzito au ana mtoto halafu aendelee kubaki shule??? Wakati keshafundishwa good manners akiwa kidato cha kwanza na akashindwa.......acheni sanaa ktk Elimu. Kama ameshindwa kusoma aangalie utaratibu mwingine wa maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau kuwa huo wa kuwarudisha wazazi shule ndio msimamo wa CCM, waulize Samia na Ummy. Wamegeuka ghafla kama vinyonga. CCM nayo Hawasemi kwani ' Kinyago walichokichonga na kukiweka sebuleni wanakiogopa - Msukuma'.Askofu kamaliza, kasema wazi hakuna Shule ya Kanisa Katoliki itakayoruhusu mimba. Huo ndiyo msimamo; wewe unamhoji Askofu ukiwa kama nani? Kama nia yako ni kuwagurahisha CHADEMA au mashoga, go ahead. Hapa ndiyo mahala pake.
Sent using Jamii Forums mobile app
.me naomba kujuzwa jamani kwani tendo la ngono na tendo la ndoa ni matendo mawili tofauti? na vipo kwenye wajibu wa wanafunzi kuna moja kati ya matendo hayo ameruhusiwa afanye anapokuwa masomoni au kuna sheria ya shule inayoruhusu mwanafunzi kufanya matendo hayo? km hakuna sheria ilo ruhusu kufanya sheria inasemaje kwa mwanafunzi alopatikana na kosa la kufanya either tendo la ngono or tendo la ndoa msaada jamani nataka muongozo na me nijue
.Rtbkazoba
Nimependa ufafanuzi wako, sana ila labda nikukumbushe tuu kidogo, we we Kwa upeo wako mkuvwa namna hiyo ulidhani au unadhani IPO Siku au kuna Siku archbishop tena Wa kanisa LA katoliki atazungumza mambo au maneno yatakayowaudhi watu Wa serikali hasa? Tuliona hapa hapa nchii ilivyogawanyika wakati Wa bunge LA katiba hakuna yeyote aliyesema lolote mpaka sasa yaliyotokea wote tuliyaona, sie Kazi yetu ni kuhubiri neno LA mungu na amani pasipo haki.
Pole sana.
.Mimi ninapomsikia Kiongozi wa dini anapokuja Kujenga hoja yake, na kuishia kujikita tu kwa kusema kitu fulani sio 'utamaduni' wetu, huwa mara zote najiuliza maswali haya...
1/Toka lini Ukristo na uislamu vikawa ni utamaduni wa Mwafrika?
2/Toka lini Uvaaji wa nguo kufunika miili yetu na kutusitiri vyema miili yetu vikawa utamaduni wa mwafrika?
3/Toka lini kwenda hospitali kutibiwa kwa sindano, vidonge, chanjo, operesheni nk vikawa utamaduni wa mwafrika?
4/Kwanini utamaduni wa asili wa mwamfrika wa kutambika, kuroga, kuagua tunaupiga vita sasa? (Kwa sasa viongozi wa dini wanasema tuache hayo ili tutumie Dua, sala na maombi tu)
5/Kwanini utamaduni wa asili wa jamii nyingi za kiafrika wa kukeketa wanawake tunaupiga vita?
6/Toka lini kwenda shule na vyuo vikawa ni utamaduni wa mwafrika?
7/Kwanini tamaduni za kiafrika za kurithi mke wa marehemu tunazipiga vita sasa?
8/Kwanini tamaduni za kiafrika za kuwaangamiza watoto wenye aina fulani hivi za kasoro za kimaumbile(Kama ulemavu) tunazipiga vita?
9/Tangu lini ushenzi wa kujamiiana(Ubakaji, Ulawiti, Ushoga, Usagaji) leo hii umekuwa utamaduni wa kigeni wakati huo uchafu umekuwepo kwenye jamii na tamaduni za kiafrika toka enzi na enzi na hakuonekana kama ni tatizo kwao?
10/Kwanini utamaduni wa Kuendekeza ujinga na uchafu uliokuwepo kwenye maisha ya kila siku ya mwafrika tunapambana kuupiga vita sasa? (Leo hii tunahimizwa tuwe na vyoo visafi na vya kisasa wakati utamaduni wa mwafrika ulikuwa ni kujisaidia vichakani tu ili kuongeza rutuba mashambani!!)
11/Hivi utamaduni wa kusafiria Pikipiki, Magari, Ndege nk. tumeutoa wapi wakati utamaduni wa mwafrika ni kutembea kwa miguu au kupanda Punda nk.
12/Hivi utamaduni wa Kula kwa vijiko, kunawa mikono kabla ya kula, Kutumia simu za mkononi, Tv, Radio, Mitandao hivi waafrika tumeuiga wapi?