Hiv na UDOM wameanza kutoa masters? Duh! kasheshe mjini...... ila mi najua Mzumbe kuanzia kwenye mwezi wa nne hiv na kuendelea..... Na SAUT nao wameanza kutoa masters siku hiz?... kha! Hatari Nungwi meli inataka kuzama sasa...!
Hapo hamna cha GPA, pesa yako tu kijana ndo itakayo kuokoa.... ila nakushauri uwe na gpa kuanzia 3 hivWanaharakati wenzangu naombeni msaada kwa anayefahamu application form za masters za vyuo hivi zinatoka lini na qualifiction zao ni zipi yan wanachukua GPA ya ngapi?UDOM,MZUMBE,&ST AGUST YA MWANZA
Hiv na UDOM wameanza kutoa masters? Duh! kasheshe mjini...... ila mi najua Mzumbe kuanzia kwenye mwezi wa nne hiv na kuendelea..... Na SAUT nao wameanza kutoa masters siku hiz?... kha! Hatari Nungwi meli inataka kuzama sasa...!
GPA ya PGD au Undergraduate?kama ni Bachelor uwezi kataliwa kokote,labda ulikua BA alafu unataka Mastars ya Engn'gnina gpa 3.4 na nina pgd, udom wakanikataa kufanya masters! ptuuuuuuuu!
nina gpa 3.4 na nina pgd, udom wakanikataa kufanya masters! ptuuuuuuuu!
Hiv na UDOM wameanza kutoa masters? Duh! kasheshe mjini...... ila mi najua Mzumbe kuanzia kwenye mwezi wa nne hiv na kuendelea..... Na SAUT nao wameanza kutoa masters siku hiz?... kha! Hatari Nungwi meli inataka kuzama sasa...!
Ben chek kwenye website zao ndio njia rahisi ya kujua yote hayo
mmmhhh
nenda mzumbe
GPA ya PGD au Undergraduate?kama ni Bachelor uwezi kataliwa kokote,labda ulikua BA alafu unataka Mastars ya Engn'g
Huu sasa utani wa elimu huu, Phd ya nini kamandaSaut wanatoa mpaka Phd ndugu
Hahaha acha dharau wewe... nipo kidato cha pili????? haya bana.. sio kosa lako hilo mkuuUkute uko kidato cha pili wewe!Sasa unataka kusema nn hapa?