Masters programme

Masters programme

Ivy league schools ndo huwa wanaangalia gpa..apa kwetu mpunga wako tu
 
3.4 gpa ya undergraduate! then nikafanya pgd, specialization yangu ni IT na huko udom nikaoma hy hy IT!

Naomba website ya UDOM maan kila nikiingia sion masters programme zaidi naona mambo ya degree tu.nataka nichukue ya human resource ipo?
 
mkuu ongera kupenda kusoma. mi binafsi hata ukiniambia unanilipia kila kitu mpaka namaliza lakin sikubali.

Asante mkuu hvy hvy kujiendeleza ajira zenyew hazieleweki na umepata mfadhili huwez acha kwenda
 
Mohamed seif Khatib Phd yake ya kiswahili kapatia Udom, mkuu inaonekana huwa hufuatilii mambo.
 
Weye jamaa (Division Delmont) mbona una akili ya kitumwa....!! unadharau udom kwa sababu gani...? ndo mlivo wabongo ukiona mapungufu unaanza midharau badala ya Ku-fight for changes...! Ivi nani kawaloga nyinyi...? Mtakaa mnalalamika mpaka lini...? Badilisheni misimamo tafadhali!
 
Unataka kusoma masters yanini?? Je unataka kuunganisha au unatokea kazini?? Vitu vyote hivyo vinamata.
Mzumbe kama unataka kuunganisha uwe na gpa 4 kuendelea.

Sio kweli .. mzumbe hela yako tu kijana .. nna washkaji kibao wameunganisha na hawana hizo gpa kubwa achilia mbali,kuwa na upper second .. wana chini ya hapo na wanakula shule kama kawaida ...
 
Sio kweli .. mzumbe hela yako tu kijana .. nna washkaji kibao wameunganisha na hawana hizo gpa kubwa achilia mbali,kuwa na upper second .. wana chini ya hapo na wanakula shule kama kawaida ...

Duh!!! Natokea kazini nataka nichukue human resource
 
Duh!!! Natokea kazini nataka nichukue human resource

We uko mwanza ,dar ,au moro .. kwa moro ndo sina uhakika ila jwa dar na mwanza kacheki hiyo course kama ipo masomo ni saa 11 mpaka saa mbili usiku .. mida hiyo ndo class . Dar wako upanga mitaa hiyo na mwanza wako mitaa ya manispaa kama unaelekea isamilo ..
 
Back
Top Bottom