Well, toa details zaidi kwanza ili tuweze kushauri. Ana kazi sasa, wapi (local governt, serikali kuu, taasisi/mashirika ya kimataifa, taasisi ya elimu) na then ana plans gani for future ? Nauliza hivyo kwa sababu kama sasa say ni afisa maliasili or so, na anakwenda kusoma graduate school, anaweza kuwa anapoteza muda maana mambo ya serikali yanajulikana. Kama ana future plans za kujikita ktk taasisi au mashirika ya kimataifa, well hiyo Msc ni nzuri na itamsaidia..!
Kama hana kazi kabisa na katoka shule basi ktk fani hizo bora ajipe mwaka 1-2 field ili kupata uzoefu maana fields kama hizo sio za kukrem tu anaweza pata shida kupata kazi bila any field experience unless anataka kushika chaki !!
Pia hiyo field ni pana, ana any specific interest ya area fulani say forestry and beekeeping, wildlife management or utilization, tourism & ecotourism, ecological monitoring ect ?
Does she has a first degree/advance Diploma in education, teaching (assuming teaching science subjects ?). I know conservation/environmental education (which is basically to do with raising awareness of the values and importance of conserving natural resources and the env) is a core field and very marketable. I am aware of different programs run by WWF, AWF, WCS ect and most of folks have teaching background. So what I am sayin' is she should dig now and make sure she knows exactly what she want to do before persuing for that course. That will also make her life easy than waiting for the profs to decide what she should do. If she can find and read wildife, forestry and beekeeping, and fisheries policies of Tz, I am sure she will be able to find some areas of interest, and go from there.
In brief akichagua areas sahihi, ataweza kutumia uzoefu wake wa ualimu vizuri sana kwenye areas nyingine pia kama conflict resolutions, capacity building, advocacy- educating policy makers and other decision makers na hata mambo ya land use planning.
Don't hesitate to contact me if you have any other questions
NB: Kuna scholarships na funding opportunities nyingi sana za upendeleo wa wanawake- ktk kozi kama hizo, na pia kozi fupi fupi nje au kama ataamua kupasua kichwa zaidi in future!