Masters in natural resources management and assesment at udsm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masters in natural resources management and assesment at udsm

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Gumilapua, Sep 23, 2011.

 1. Gumilapua

  Gumilapua JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 538
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  Wadau ninamdogo wangu amechaguliwa kusoma masters degree 'MSc in natural resources mgt and assessment @Udsm.
  Anataka kujua km inalipa au atapoteza pesa na muda wake?
  Naomba ushauri wenu wadau..
   
 2. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2011
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  mkuu hii research/assessment alipaswa kuifanya kabla hajaomba hiyo kozi! Inamaana tukisema hailipi ataacha au inalipa atasoma! Vilevile hapa utapata majibu ambayo ni hearsay tu! Ingekuwa vizuri kama angemuona msimamizi wa kozi ampe details zaidi. Pengine kuna wenye utaalam zaidi na hili watajadadavua hapa
   
 3. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2011
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Well, toa details zaidi kwanza ili tuweze kushauri. Ana kazi sasa, wapi (local governt, serikali kuu, taasisi/mashirika ya kimataifa, taasisi ya elimu) na then ana plans gani for future ? Nauliza hivyo kwa sababu kama sasa say ni afisa maliasili or so, na anakwenda kusoma graduate school, anaweza kuwa anapoteza muda maana mambo ya serikali yanajulikana. Kama ana future plans za kujikita ktk taasisi au mashirika ya kimataifa, well hiyo Msc ni nzuri na itamsaidia..!
  Kama hana kazi kabisa na katoka shule basi ktk fani hizo bora ajipe mwaka 1-2 field ili kupata uzoefu maana fields kama hizo sio za kukrem tu anaweza pata shida kupata kazi bila any field experience unless anataka kushika chaki !!

  Pia hiyo field ni pana, ana any specific interest ya area fulani say forestry and beekeeping, wildlife management or utilization, tourism & ecotourism, ecological monitoring ect ?
   
 4. Gumilapua

  Gumilapua JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 538
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  thanks for detailed advice! yeye ni mshika chaki tu kwa sasa, govt school na amekuwa kazini for some years, she want to change profession from teaching to sthing else!
   
 5. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2011
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Does she has a first degree/advance Diploma in education, teaching (assuming teaching science subjects ?). I know conservation/environmental education (which is basically to do with raising awareness of the values and importance of conserving natural resources and the env) is a core field and very marketable. I am aware of different programs run by WWF, AWF, WCS ect and most of folks have teaching background. So what I am sayin' is she should dig now and make sure she knows exactly what she want to do before persuing for that course. That will also make her life easy than waiting for the profs to decide what she should do. If she can find and read wildife, forestry and beekeeping, and fisheries policies of Tz, I am sure she will be able to find some areas of interest, and go from there.

  In brief akichagua areas sahihi, ataweza kutumia uzoefu wake wa ualimu vizuri sana kwenye areas nyingine pia kama conflict resolutions, capacity building, advocacy- educating policy makers and other decision makers na hata mambo ya land use planning.

  Don't hesitate to contact me if you have any other questions

  NB: Kuna scholarships na funding opportunities nyingi sana za upendeleo wa wanawake- ktk kozi kama hizo, na pia kozi fupi fupi nje au kama ataamua kupasua kichwa zaidi in future!
   
 6. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Ni nzuri in general hasa ukizangatia ana salary maana hatasumbuliwa sana na yule mdudu kwenye kutafuta ajira anaefahamika kwa jina la "techno-who" baada ya ndugu yake "Techo-how" kufutika kwene ajira za bongo
   
 7. Gumilapua

  Gumilapua JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 538
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  she is a graduate in BEd science, teaching chemistry and biology. Thanks 4 info, surely i will contact you incase of anything worth to disturb someone!
   
 8. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2011
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  With that background, I don't see any problem.
   
 9. Kumbakumba

  Kumbakumba JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aende tu,mke wangu anajojn pia mwaka huu..ubora wa course unategemea na interest ya mtu mwenyew..generally course content iko pouwa,ni bahati tu akimaliza pia apate kazi
   
Loading...