Master in plant breeding/ crop improvement na master in seed technology and business

Nimemaliza mwaka huu agronomy so SUA naijua vizuri
Unataka kumaster nini ikiwa ndiyo kwanza umemaliza juzi. Nenda kafanye KAZI kwanza nakuhakikishia kupitia uzeofu utakaopata kazini hutakuja kuuliza watu usome nini.
 
Unataka kumaster nini ikiwa ndiyo kwanza umemaliza juzi. Nenda kafanye KAZI kwanza nakuhakikishia kupitia uzeofu utakaopata kazini hutakuja kuuliza watu usome nini.
Kama nafasi imepatikana saizi ya kusomeshwa aikatae Hadi akapate kazi?
 
Back
Top Bottom