mastaa waliotia aibu ya mwaka 2011 Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mastaa waliotia aibu ya mwaka 2011 Tanzania

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Pdidy, Dec 17, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,706
  Trophy Points: 280
  wema sepetu
  diamond

  kanumba
  jack
  ray
  bob junior
  wolper
  nisha
  aunt ezekiel
  lulu
  kabula
  rehema

  hawa nyekundu still wako active na vituko vyao kwa kweli nikiwa kama mtanzania naomba mjaribu kubadilika umaarufu wenu autakuwa na maana kama mtakuwa mnajizalilisha kila mwaka
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  hivi pdidy, wewe huwa ni msichana au mvulana?
  Kutwa kucha na hawa watu, wengine unaturusha masaburi bure
  peleka basi jukwaa la celebritiz
   
 3. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hiyo listi hapo simfahamu hata mmoja. Naowafahamu tu ni mastaa wa hapa JF!
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  asante anang'ang'ana na watu ambao wala dunia zetu hazigongani
   
 5. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #5
  Dec 17, 2011
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kanumba kafanya nini cha kutia aibu?
   
 6. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #6
  Dec 17, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Hao ndio mastaa? kwa kigezo kipi.....
   
 7. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #7
  Dec 17, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Aisee haka kamchina kangu hakana option ya LIKE! Nashindwa kukugongea like!
   
 8. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #8
  Dec 17, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  MAstaa wa JF hapo kwenye list ndio wapi?
   
 9. bht

  bht JF-Expert Member

  #9
  Dec 17, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  mara nyingi huwa sielewi posts za Pdiddy...
  sijui nina shida gani tu kumkichwa
   
 10. M

  MAHUMBI Member

  #10
  Dec 17, 2011
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona hata wao ni binadam kama wewe!!wao sio malaika pia wanafanya mambo yoyote ambayo kila mwanadam anafanya!!!
   
 11. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #11
  Dec 17, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hawa ni Movie stars tu, bado Musicians, footballers and others,,,,,
   
 12. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #12
  Dec 17, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kwahiyo sisi tufanyaje?
   
 13. F

  Fraddle b JF-Expert Member

  #13
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Afande sele,jafarah
   
 14. j

  julisa JF-Expert Member

  #14
  Dec 17, 2011
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kwani na ww ktk mwaka huu hakuna jambo la aibu ulilofanya?
   
 15. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #15
  Dec 17, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Kumbe siyo mimi mwenyewe,nilidhani niko mwenyewe!hakika some times natoka kapa kabisa
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Dec 17, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  ndo kina nani hao?
   
 17. C

  Cape city Member

  #17
  Dec 17, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Great thinkers wanajadili mambo ya msingi, si kuwadiscuss wasio na tija ktk jamii yetu! Mastaa watakuwa hao....?nn mwanao atakuja kujifunza kwa sijui wema sepetu.tuongee mambo ya msingi!!!!
   
 18. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #18
  Dec 17, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,642
  Likes Received: 2,876
  Trophy Points: 280
  Pdidy leo airport kuna mpya gani huko?
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Dec 17, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Na wewe hujatia aibu?
  Kazi kushupalia ya wengine tu.
   
 20. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #20
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mh. Unaturusha! Headin' nzito contents nyepesi! Utauliza kivipi?
  Ni kihivi ukitaka statistics za mastaa waliotuaibisha 2011 ukawaacha Taifa Stars utakua hujatutendea haki katika taarifa yako.
  Kumbuka hao kina W. Sepetu wamekera idadi ya Wa- Tz wachache sana sidhani kama watazidi watu 1 Ml, lakini Taifa Stars wamekera kundi kubwa sana la wa- Tz! Hutaki ndiyo hivyo, wataka ndiyo hivyo.
  Mi natambaa mitaa ya mbele.
   
Loading...