Massage za Dar

Massage za Dar

Haifunguki mpendwa

IMG_7504.jpg

hili ni tangazo lao ila utaona wadada pia hawabaguliwi.
 
Ninamiliki barbershop ambayo ina huduma ya massage. Nawashauri vijana mtumie kinga mtakufa siku si zenu. Kuna mabinti wambulu niliwatoa bushi huko nikawaweka ofisini. Watu walikuwa wanafurika kupata huduma mpk nikawa nabadilisha massage bed kila miezi sita

Watoto walikuwa wanauza kuliko mauzo ya massage parlour.

Anyway siku hizi watu wanafanya kwa afya na si kwa madhumuni kama ya mtoa mada. Barbershop zina huduma nyingi sana muwe mnaenda
Message bed shilingi ngapi mkuu? Nimewaza hapa nimeona bila kuinunua yangu nyumbani ili nifanyiwe tu na shemeji yenu, huko kwenye parlour sitotoboa kwa hali hiyo.......mi ndo dakika mbili tu wataniambia huduma imeisha maana mambo hayo sitoweza kuyavumilia.
 
Kama wewe ni faithful kwa mkeo kaka huhitaji massage bed. Kitanda chako hicho cha kawaida, nunua na ile wanaita Yoga Mat basi inatosha. Mkeo pia atapata uzoefu kadiri siku zinavoenda. Nakuambia kaka utaenjoy sana na wewe unakua na faida moja kwamba hununui.
 
Back
Top Bottom