mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,269
- 71,933
ndio, story inahusu dereva uber ambaye alikutana na masseuse mremboIle "Biashara ya Uber ilivyonikutanisha na Mrembo" ?
ndio, story inahusu dereva uber ambaye alikutana na masseuse mremboIle "Biashara ya Uber ilivyonikutanisha na Mrembo" ?
Hiyo ni kwa mujibu wako, ila kwa wanaoamini kuhusu Mungu, yote ni matendo machafu na yapo kwenye kapu la zinaa na wote wana adhabu zao.Mwanaume na mwanamke kuhusiana kimapenzi ipo kihalali,hayo ya ufalme wa mbinguni ni yenu hakuna mwenye uhakika napo
4 years back mbonaaa but sichat sana humuleo umeamua kuconfess😁
Watuache tuaminioHiyo ni kwa mujibu wako, ila kwa wanaoamini kuhusu Mungu, yote ni matendo machafu na yapo kwenye kapu la zinaa na wote wana adhabu zao.
🤣🤣🤣Bado hajasema, na atasemaNaona officialBossmtoto wiki yote hii unatafuta wanachama wa kwenda nao nyumbani kwa Shetani 🤪
Anyway, Vunja mifupa kama meno ipo 🤗
Hahaha.......atawapata Vijana wenzake ambao damu inachemka, ila sisi Wazee moja kwa moja kwa Sir God 🤗🤣🤣🤣Bado hajasema, na atasema
Alafu haya mmbo yamekuja kuvuruga saiv utandawazi unawakontroli vijana mpk hawajielewiHahaha.......atawapata Vijana wenzake ambao damu inachemka, ila sisi Wazee moja kwa moja kwa Sir God 🤗
Vijana wakiendelea hivyo wajiandae kutofanya maendeleo, maana hela nyingi zinaishia kwa hao malayaAlafu haya mmbo yamekuja kuvuruga saiv utandawazi unawakontroli vijana mpk hawajielewi
Pumbavu shoga.Coming from a cheap slut sleeping with anything moving on earth haaa get busy and maybe utakuwa less horny
Kilichobaki kama mtu ulishindwa kuishi kwenye mfumo jiandae kuangukia uko kwa Malaya technology inazidi kuja kwa kasi imebaki unagonga roboti na kukwepa binadam mwenzakoVijana wakiendelea hivyo wajiandae kutofanya maendeleo, maana hela nyingi zinaishia kwa hao malaya
Mungu awasaidie Vijana wetuKilichobaki kama mtu ulishindwa kuishi kwenye mfumo jiandae kuangukia uko kwa Malaya technology inazidi kuja kwa kasi imebaki unagonga roboti na kukwepa binadam mwenzako
Hela naitaka ila nikikuelekeza nitafungua codeBabu sema saloon ipo wapi tupe na namba za hao wambulu. Unataka tuishi milele ili ufaidike nini wewe?
mkuu tafuta uzi wa insiderman, jinsi biashara ya uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu,iryn anapatikana huko.Mnaomjua Iryn mnajiona mmetusua maisha. Nosweti kaeni na info zake.
Sijawahi ona watu wa ajabu kama nyie.