macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 28,335
- 57,212
My take: Hivi inawezekanaje ukaishi na mke wako na usifaham anapofanyiakazi, au akawa anakueleza nafanyakazi mahali flani na haujawahi fika?
Kama kuna makubaliano ya fedha mwisho wa kusingwa na kupunguziwa hamu then sheria imevunjwa...kama ni mapenzi yenu bila ya fedha, sheria iko upande wako...there is a very fine line there....Nimewajibika kwa kufanya kazi ngumu wiki nzima... halafu inapofika w-end nataka mtu (mrembo) wa kunisinga na kunipunguzia hamu zangu... halafu eti polisi watuvamie? Hii haingii akilini hata kidogo. Hayo ni makubaliano ya watu wawili na hakuna sheria yeyote imevunja.
Kama kuna makubaliano ya fedha mwisho wa kusingwa na kupunguziwa hamu then sheria imevunjwa...kama ni mapenzi yenu bila ya fedha, sheria iko upande wako...there is a very fine line there....
Mkuu,Tusaidie sheria gani inakataza makubaliano ya kutoa hela kwa kubadishana na ngono?
Ngono ni makubaliano ya watu wawili na huu ni uhuru wa kikatiba. Damn!!
Kama kuna makubaliano ya fedha mwisho wa kusingwa na kupunguziwa hamu then sheria imevunjwa...kama ni mapenzi yenu bila ya fedha, sheria iko upande wako...there is a very fine line there....
Soma hapa kwa lugha ya kigeni aka lugha ya kitaalamu....
Prostitution is the act or practice of engaging in sex acts for hire. Na lililopigiwa mstari ndio fine line niliyokuwa nikiizungumzia mkuu. Halafu unaweza kwenda kuangalia katika sheria za Tanzania inazungumzia vipi kuhusu prostitution.....Then utafikia kwenye conclusion niliyoizungumzia hapo awali.....
Penal code inasema hivi,146. Woman living on, or aiding, prostitution A woman who knowingly lives wholly or in part on the earnings of prostitution or who is proved to have, for the purpose of gain, exercised control, direction or influence over the movements of a prostitute in such a manner as to show that she is aiding, abetting or compelling her prostitution with any person, or generally, is guilty of an offence. Ukisoma kifungu hiki kilivyokuwa drafted toka mwanzo mpaka mwisho utaona dhahiri kuwa prostitution sio kosa, kosa ni kuishi wholly or in part on the earnings of prostitution. Kwa kuangalia vizuri utaona kuwa kuwa kuwa na majumba ya prostitution nndio kosa lakini sio kufanya prostitution.Hebu mijuze wewe binafsi unakionaje kifungu hiki???????
Ngono ni makubaliano ya watu wawili na huu ni uhuru wa kikatiba. Damn!!
You sound like bongo kuna masseuse tu na hakuna masseur?! Kwanini VETA ifundishe mabinti tu na si wavulana/wanaume pia?!!waambie hawa kaka ...that is called two adults consent.....
..hata ulaya walioenda kwenye massage zao...sio ajabu kupewa ngono...iwapo umeomba naye akakukubalia...au amekuona akahamasika ..akakuomba ukakubali[sio sheria ,hairuhusiwi wala hailazimishwi,ila kama hakuna mmoja atakayelalamika..basi ruksaa]....
sasa huyo mwandishi wa habari aliyeenda kuchungulia mwenzake anafanyiwa massage ni mjinga sana!!!..
ndio maana kuna umuhimu kwa kuwa fani ya massage imeingia kwa kasi ....ni lazima idhibitiwe kwa kuwepon leseni,veta wafunze mabintyi..etc...kinachosababisha ngono kwenye massage ni ukosefu wa elimu ya uchuaji kwa mabinti walio wengi....na wengi hudhani massage ni kutia mteja ashki....
lakini if you go to a proffessional massuer....kwa namna atakovoku keep busy na programme zake ....wala hutapata wazo la kufikiria ngono....thats why kwa lugha nyepesi massuer wanaoshawishi ngono..they are just been un proffessional...and they think the way to please the customer is sex.....massuer wa tanzania unaingia eneo lake ...unamuuliza programme..hajui anacheka cheka tu....hajui misuli au viungo vya kushika...tatizo !!
sasa pale ukienda mkuu lazima wakupe starter unashangaa kitu mwake mwake ..sasa wameshatia fitnakwani mkuu imekatazwa kumasajika?kinachozuiwa hapo ni kungonoka
Nadhani watanzania tuna matatizo mengi ya kushughulikia, hili la starehe na wenye hela zao nadhani lingeachwa kwanza. Na hao polisi mbona hawaendi kukamata vibaka pale daraja la mazese?? wanaenda kwenye salon??
kwani mkuu imekatazwa kumasajika?kinachozuiwa hapo ni kungonoka