Massage parlour

Massage parlour

niggapaul

Member
Joined
Sep 29, 2017
Posts
49
Reaction score
44
Habari zenu wanandugu watanzania wenzangu.

Niende moja kwa moja kwenye mada kama inavosomeka hapo juu.Ni siku chache toka nifike hapa Dar nikitoka zangu mkoani pia nimepata kutembelea sehem chache za jiji hili ikiwemo sehemu za sinza.
Naomba kuuliza hivi hizi sehemu za massage parlour swali langu ni je hua kuna shughuli zingine zaidi ya massage.

Naombeni majibu yenu hasahasa wanaume wa dar najua mna experience na hili...

Nawasilisha..
 
Umesema umetembelea sehemu nyingi za dar. Naamin umeziona izo massage parlour kwanini usiingie ukawaulize wenyewe?

Fool
 
Habari zenu wanandugu watanzania wenzangu.

Niende moja kwa moja kwenye mada kama inavosomeka hapo juu.Ni siku chache toka nifike hapa Dar nikitoka zangu mkoani pia nimepata kutembelea sehem chache za jiji hili ikiwemo sehemu za sinza.
Naomba kuuliza hivi hizi sehemu za massage parlour swali langu ni je hua kuna shughuli zingine zaidi ya massage.

Naombeni majibu yenu hasahasa wanaume wa dar najua mna experience na hili...

Nawasilisha..
Dah...huwa wanauza matunda pia...[emoji13]
 
hahaaa humu kila mtu mjuaji daahhh hahaaaa.haya majibu huwa mnawapatia na wenza wenu hivi hivi au ??
Wenza wetu tunawabembeleza tena ukizingatia pasaka imekaribia.. Full kunyenyekea
 
Back
Top Bottom