Massage Parlour...


Umenifurahisha na haya maneno "... nilitoka majacho na kujisikia kama naondolewa dhambi zangu ..."
 
Duuuh mi mambo yako tu nakupendaga hahahaaa
 
Umenifurahisha na haya maneno "... nilitoka majacho na kujisikia kama naondolewa dhambi zangu ..."

Hahahahahahaaa unajua kuna wakati binadamu huwa anapata hisia za raha au utamu ambao huwezi kuuelezea..... sijui kama ulishawahi kukutana na hali kama hiyo.... sasa ukute mtu anataka umuelezee ulivokuwa unajiskia ndo unajikuta unatoa maneno kama hayo.
 
Hahahahahahaaa hapana, wala sio mtundu. Kasie ni mpole tuu hata haongeagi sana, yuu atabasamu tuu heheheheheheee.

Asantee.
Aah kumbe Kasie ni mpole na haongeagi kama Wegman, Kasie pia akitabasamu na kucheka anabonyea kwenye mashavu kama Wegman πŸ™‚ πŸ™‚
 
Luse.... to some extent my brain is dull especially when I try to digest your words.....

Can you translate your intended msg into Swahili language please.

Wanasemaga kuuliza si ujinga, ujinga ni kutojua na kunyamaza bila kuuliza.

Ngoja nijaribu.

Ulikuwa unauliza maana ya "brownie points" right?

ndo nilikuwa nasema "brownie points", ni points mtu apatazo kwa kufanya jambo zuri. Pointi hizi sio halisi/real. They have no real application whatsover, ni msemo tu.

Ndo nikawa natolea mfano kuwa mtu anaweza akapata "brownie points" kwa kusaidia kazi za nyumbani, kuwa msikilizaji mzuri, kusaidia kupika chakula n.k

Ndo maana nikasema in my original post kuwa mtu akijifunza ku-give a massage, it also helps score some brownie points with the ladies.

Sijui nimeelezea vizuri au ndo nimeboronga kabisa. I hope umeelewa.
Sorry the explanation isn't fully in Kiswahili, as you would have liked.
 
Kwa kweli maisha ni mafupi kuendekeza taabu, ukipata nafasi ya kula starehe . . , kula iliyonona . .

Kusingwa (massage) ni starehe sana . . , na ikimaliziwa na "happy ending" . . , ni utamu balaaa . .

Wabongo wengi tunajua starehe ni outing za Bar, Pub kwa pombe na nyama choma tuu . . , kumbe starehe ni pamoja na hii kusingwa . .
Mwanamke kusingwa na mwanaume ndio sawa zaidi ki saikolojia. Kama mwanamke ataona hajiamini kusingwa peke yake, anaruhusiwa kusingwa akiwa na mwenza wake au rafiki anayemwamini . .

Hata mimi ni msingaji mzuri tuu, ningekuwa huru kidogo ningefanya biashara hii niwatoe "stress" akina mama . . , hasa wa kuanzia miaka 35 kwenda juu . .
 
I wish I could be msingaji.

Hahahahahahaaa Fakalava.. ... nakukumbuka ujue..... kama sijakosea kuna mahali ulishasemaga tangu siku nyingi tuu unasubiri......
Kama hujakumbuka basi ntakuwa nimekosea....

Kwani, unajua kusinga? Ili siku nikipata wasaa nikukaribishe kwangu unisinge.... as you wish....
 
Aah kumbe Kasie ni mpole na haongeagi kama Wegman, Kasie pia akitabasamu na kucheka anabonyea kwenye mashavu kama Wegman πŸ™‚ πŸ™‚

Hahahahahhahaaa wegman ujue unanifurahishaa heheheheheheee itabidi nimtafute huyu wegman nijue kama kweli anashabihiana na Kasie.. ..πŸ˜›πŸ˜›

Jumapili njema weg.
 

Ooh luse, asante sana nimekuelewa sasa na ujumbe wako maridhawa umefika.
It's ok I gat what you meant.

Stay well!!
 

Ooh kumbe wewe ni msingaji mzuri eeh, ungekuwa na wasaa pamoja na muda wa kutosha, ungeanzisha Menyai Parlour na ukaitangaza humu JF ungepata wataka wengi tuu mradi wasingwe na wewe.

Kwenye usingaji usibague wateja, utaingiza hela hadi utapike. All the best dear, though am curious to know why your market target would've be ladies bin women aged 35 yrs and above only..... what's the secret or motive behind.. ..
 
Hahahahahhahaaa wegman ujue unanifurahishaa heheheheheheee itabidi nimtafute huyu wegman nijue kama kweli anashabihiana na Kasie.. ..πŸ˜›πŸ˜›

Jumapili njema weg.
Ha ha ha ha ha ha ha, ebu fanya hivyo upate kuujua ukweli kwamba sikudanganyi.

Jumapili njema pia Kasie
 
Ha ha ha ha ha ha ha, ebu fanya hivyo upate kuujua ukweli kwamba sikudanganyi.

Jumapili njema pia Kasie

Hahahaa haya wacha nipange ili siku hiyo tuonane nipate kuujua ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…