Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,351
- 8,087
Sina uhakika na jibu langu, ila nahisi ukimtoa ofisini gharama zitaongezeka
!
!
Hebu fanya utafiti tujue. Nitakutoa na ofa moja.
Sina uhakika na jibu langu, ila nahisi ukimtoa ofisini gharama zitaongezeka
weka wazi kabisa ni offer ipi utanipa? kwenda majuu kuangalia mpira, utaninunulia ka usafiri, utanijengea nyumba, utani.... utani..... hahahahahahahahahahahahaahahahaah!
!
Hebu fanya utafiti tujue. Nitakutoa na ofa moja.
weka wazi kabisa ni offer ipi utanipa? kwenda majuu kuangalia mpira, utaninunulia ka usafiri, utanijengea nyumba, utani.... utani..... hahahahahahahahahahahahaahahahaah
nyingi zipo barabara ya kaweWakuu naomba anaejua eneo wanalotoa huduma hiyo kwa maeneo tajwa anisaidie kunielekeza na pia kama unajua bei yake itanisaidia zaidi.
Asanteni