Massage ni hatari kwa ndoa

Hilo ni janga, na wanaume wenyewe wanapendaa serikali itusaidie kuondoa haya Madangulo ya kizungu
 
nyie wenyewe mnalalamika hamfikishwi kilele cha kibo,nyie haohao mnaliakuibiwa,nyie hao hao mnasema wanaume wabahili....!!!haya
 
Iwe hatari tu ndg. Wanawake zetu hata kutuosha viuso vyetu kama wale wa saluni hawawezi.
Unajikuta unaenda saluni kwa kumic tu huduma za wale wadada huku mke unae ndani.
 
Kwa hiyo kama na sisi mwanaume zetu hawajui kuturidhisha kitandani tuende tukalalwe na wanaume wengine??
Acheni ujinga
Cute b: haka kamchezo ni zaidi ya unavyodhani...Ukweli mchungu lakini kubali tu...Mwanaume awezi asipopata hiyo huduma lazima akimbilie sinza nk...by nature wenzenu tumeumbwa hivo yaani na nyie mnaweza kutukubali na madhaifu yetu hata yawe makubwa kiasi gani...! So, kwenye mikando yaani hata beibe wako anakwenda sana ila hawezi kusema mama...
 
Sasa kwan Mme wako ni mtoto? OK baby sitaenda msasani massage jumapil unipe massage LadyAj[emoji2]
Hiyo kazi niachie ntaifanya kwa ufanisi, tatizo lake wabongo hampendagi bidhaa za ndani mkiulizwa sababu huwa hakuna
 
Hapa tuu ndipo ninapowadharau wanaume.
 
We mwanamke natamani ungekuwa mke wangu jinsi ulivobobea kuchunga mzigo ka CIA ,vizuri xn,hakuna haja ya kusaidiwa na serikali naomba JISAIDIE mwenyewe kwa kumpatia massage ilotukuka akiwa home ,ataisahau ya mtaani.

mkuu nimekuelewaa
 
Lakina mkumbuke kuna kale kamsemo kanasema "Mwanaume bila mchepuko ni sawa na Taifa bila chama cha upinzani,na Mwanamke kuwa na mchepuko ni sawa na Taifa lenye kikundi cha uasi."
Japo sijui kama ni kweli,ila wadada muwe wabunifu katika ndoa zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…